Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Ushahakikisha kuwa simu haiwaki kabsa? Maana always samsung ikidondoka ikapasuka kioo huwa haidisplay chochote ila waweza prove kwa kuiweka charge na kuona kama itawaka taa ya blue au red pale inapozima mwanga
Nilishajaribu kuiweka charge na hata nikabadili battery lakini hamna matokeo yoyote hasi
 
Okay. Hapo watembelee mafundi ambao wanaweza kuwa na circuit ambayo inawaka ukafanyia test ya display yako
Nawapata wapi hawa mafundi. Maana wengi ni makanjanja unaweza kuishia kutapeliwa tu. Nataka fundi wa uhakika kama unaweza kunipa msaada itapendeza mkuu.
 
Nina samsung galaxy s5. Saketi tu ndo mbovu. Kwa anaeitaka kwa manufaa ya body na display anaweza nicheck kwa 0658190978. 0763976109.
 
PC yangu hp elitebook 8470p nikiwasha inatoa maelezo fan doesn't work correctly nifanye nini kutatua tatizo hilo
 
Kipi bora kati ya kubadili fan au kusafisha
Na bei ya fan mpya sh. Ngapi
Maana ya marekebisho ni kwamba fundi anaweza kusafisha au kuweka nyingine au pia upo uwezekana shida ikawa n kwenye mashine yenyewe moto haufiki kwenye fan
 
Msaada. Computer\Desktop nikiiwasha inawaka inakaa dk 5 au 2 inazima, nikiwasha tena inaonyesha maandishi mengi kisha inaji restart. Hua inatoa kamlio duuuuuuu duuu
 
Mkuu W3 imeanguka imepasua kioo. Ni bei gani kioo kipya na ufundi?
 
Ni sawa unavyosema lakini pia una swali lakujiuliza na kuchukua hatua. Je ni lini na ni vipi utapandisha kiwango chako ili uweze kukabili kazi unazozipatia rufaa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…