StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,551
- 7,682
Wenye ulozi wao sidhani kama wataacha huo ulozi kwa sababu wanaona unawasaidia kudhuru(kuua) bila kuacha alama.acheni ulozi
Asante Yesu kwa ukombozi na ulinzi wako. Ndani yako usalama 100%🙏