Za mbayuwayu changanya na zako....kama ujui kusoma hata picha uoni?
Kama mnachukia uchagga,then tatizo lenu ukabila,you got to look both ways.Kwanza futa kwamba watu wanakichukia chadema.
Pili tambua watu wanachukia tabia za Dr.slaa na Mbowe
Watu wengi wanachukia uchagga na unafiki wa Dr.slaa,hawakubaliani na namna chama kinavyoendeshwa kikanda.
Ok,lets say wewe ni mwanachadema wa ukweli mwenye kuyapenda maendeleo yake.Ona unavyokurupuka huku ukitokwa povu,msipotaka na nani?chaggaz au?katiba ya cdm ndio inayotoa rais?pole sana maana utakuja kufa kibudu pindi umuonapo zitto akitokea magogoni.utake usitake zitto mdie rais ajae kama unabisha subiri utaona.
kuweka kumbukumbu sawa.Majina yote hayo naona kama ni ya ngara mtoni,huyo munishi sio yule katibu wa bavicha ?ni zuzu fulani hivi anaongea kama mwanamke,kujishebedua kwiiingii kama demu,tena ni ndugu yake mbowe kabisaaa na ndio maana amewekwa nafasi inayolipwa mshahara.kweli cdm ina wenyewe!huyo kilewo nae ndo yule aliyefunga ndoa na mke wa mtu?deo mushi ndo yule anaejitapa kuwa mgombea ubunge kinondoni?mbona heche msukule hajampinga kama alivyofanya kwa shibuda?au kwakuwa na yeye katangaza kugombea tarime?(double standard).kama ndo hao mbona vijana wepesi saana wala sijaona anaeweza kupambana na zitto hapo,njaa zinawasumbua kwani wanaishi kwakupeleka majungu kwa mbowe.maana huyo mrema(molemo)yeye ndo chadema kilimuolea mke.bado sijaona mtu hapo zaidi ya uchagga na ukaskazini hivyo sishangai kumpinga zitto,nasisitiza rais ajae,kipenzi cha vijana walio wengi.
Huyo Henry Kilewo ni mchagga anayeenda kugombea ubunge upareni Mwanga?Si unaona jinsi ulivyo na chuki na ulivyojipanga kusambaza sumu hiyo?Yani hapo mwisho ukasema eti "ameenda kugombea huko Kilimanjaro",si ungesema uchaggani ili uumbuke kabisa?Acheni hizo.kuweka kumbukumbu sawa.
1. Deo Mushi kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema Kinondoni na ametangaza kugombea ubunge moshi vijijini ajitumwa na mbowe akamwondoe komu. Mbowe anasema komu hana hadhi ya kuwa mbunge! ...
2. Henry kulewo ni miongoni mwa vijana wa mjini wanaoishi kwa nguvu zawanawake zao. Inasemekana ameolewa na dada mmoja mtangazaji wa kipindi kimoja maarufu cha tv. Ni mfuasi wa kutupwa wa mbowe ambaye haamini kama slaa anafaa kuwa rais wa nchi. Yeye kwa sasa ni katibu wa chadema mkoa wa Kinondoni na ametangaza kugombea ubunge jimbo la Mwanga huko huko Kilimanjaro ....wenyewe eti wanasema wamekuja dar kutafuta.
kawaulize mbowe na slaa, Kwanini watu wanaoeaunga mkono kwenye unafiki wao ni WACHAGGA tu? ...wakikupa jibu ndipo utakapojua kuwa ni chama cha kikabila ama la? ...Kama mnachukia uchagga,then tatizo lenu ukabila,you got to look both ways.
Siwezi kufuta kauli kwamba mnaichukia chadema kwasababu mnachokifanya hakionyeshi mapenzi kwa chama hicho.Huwezi kujijenga ndani ya chama bila kuleta migawanyiko kwa chuki kama hizi?
Kama mnaona kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwa Zitto zimetoka kwa viongozi wenzake,kwanini msiwa single out kuliko kutumia udini na ukabila?
Kama ni kweli mnataka mabadiliko ndani ya chadema,then character assasination ndo suluhisho?Maana ni kweli kuwa kwa nmana moja ama nyingine,Slaa na Mbowe wataendelea kuwa viongozi wa chadema,sasa mnataka chuki zenu zifikie pahala ambapo hamtaweza kuongoza kwa pamoja?Is that helpfull for your party?
Ndiyo maana ninahisi kwamba itafika pahala mufanye maamuzi magumu,either kusuka,ama kunyoa.Otherwise mnakuwa kama "crabs in a bucket"
Unaona sasa unavyopata shida kujitenganisha na uchagga? .....nisaidie kujibu hilo swali hapo, Kwanini watu wote wanaomuunga mkono slaa na mbowe kweenye siasa za chadema na unafiki wao ni WACHAGGA TU? ....samahani kama nimekukwaza lakini! ...Huyo Henry Kilewo ni mchagga anayeenda kugombea ubunge upareni Mwanga?Si unaona jinsi ulivyo na chuki na ulivyojipanga kusambaza sumu hiyo?Yani hapo mwisho ukasema eti "ameenda kugombea huko Kilimanjaro",si ungesema uchaggani ili uumbuke kabisa?Acheni hizo.
Umejuwaje kama ni wchagga tu,huko Morogoro na Iringa ambapo hata huyo Zitto wenu hakuwepo na waliokuwepo wakiunga mkono na wengine kupoteza maisha ni wachagga ?Usitumike vibaya.kawaulize mbowe na slaa, Kwanini watu wanaoeaunga mkono kwenye unafiki wao ni WACHAGGA tu? ...wakikupa jibu ndipo utakapojua kuwa ni chama cha kikabila ama la? ...
tatizo ni baadhi ya vilaza wa chadema ambao hawawezi kuandika hata article ya nusu ukurasa ndio wakakasilika sana kumuona zitto alivyojaaliwa uwezo wa kuandika na kuchambua mambo kwa maslahi ya umma! ...hivi unajua baada ya nyerere ni zitto tu ndiye rais mwenye uwezo w kuandika issues za kitaifa? , kwa sababu hiyo sasa ndio maana hawa ndugu zake wachagga aambaoNawalaani wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine kuharibu huu mjadala, page ya 1,2,3 tulikutana na vichwa halisi vya jf kwenye mambo ya siasa....baadae mijitu inakuja na viroja bj
adala ya hoja....Mleta hoja kakiri kwamba pamoja na mapungufu yake lakini bado anamazuri yake pia...hivyo akashauri kama mnania ya kumjadili yeye binafsi anzisheni uzi mwingine mahususi kwa kumjadili yeye hivyo kwa sasa mjadili mstakabali wa taifa kwa leo na vizazi vijavyo....bila kusafisha mchanga huwezi kupata dhahabu,pamoja na madudu ya zzito kama yapo,bado mazuri hayawezi kukosekana. Tuheshim mjadala..
Nijitenganishe na uchagga ili iweje?Jibu swali,Mwanga ni uchaggani wewe mkaririshwaji na mwenye chuki mbaya?Unaona sasa unavyopata shida kujitenganisha na uchagga? .....nisaidie kujibu hilo swali hapo, Kwanini watu wote wanaomuunga mkono slaa na mbowe kweenye siasa za chadema na unafiki wao ni WACHAGGA TU? ....samahani kama nimekukwaza lakini! ...
Heshima ni kuoa mke wa mtu na kuendesha chama kwa majungu na fitna.
Pole sana bwana mdogo labda haujui.
slaa hawezi kuukana uchagga, baba yake wa kusingiziwa mzee peter (maana mzee pater sio baba ake mzazi, baba ake mzazi alikuwa ni kasisi wa kanisa) ni muiraq na mama yake mzazi ni mchagga wa machame! ...mwambie aje kubisha kaa tunamsingizia
Uzuri wenu nyinyi mkipenda huita kengeza, ina maana ni kweli haujui kama slaa ameiba mke wa mtu na amemzalisha mtoto na sasa anaitwa baba junior? ...Sidhani kama ni mke wa mtu.mwenyewe angekuwa na nguvu kisheria.Majungu anayo Zitto na wenzake humu,kwani wao ndio wanamsakama sana Mbowe na Slaa huku wakimpa Zitto sifa za superman.Hii post yenyewe inaonyesha si makini kihivyo.Na cha kushangaza kashindwai isoma tena na tena hii idea yake ambayo pia aliweka ktk gazeti la raiamwema.
Ona unavyokurupuka huku ukitokwa povu,msipotaka na nani?chaggaz au?katiba ya cdm ndio inayotoa rais?pole sana maana utakuja kufa kibudu pindi umuonapo zitto akitokea magogoni.utake usitake zitto mdie rais ajae kama unabisha subiri utaona.
Kama unadhani maneno kama hayo ndiyo yatampatia Zitto urais basi utakuwa hutumii akili hata kidogo.Unavyoongea hapa,unaonekana ni mtu asiyejisumbuwa kufikiri hata kidogo.Uzuri wenu nyinyi mkipenda huita kengeza, ina maana ni kweli haujui kama slaa ameiba mke wa mtu na amemzalisha mtoto na sasa anaitwa baba junior? ...
Au wewe unaona ni busara kwa mzee wa miaka zaidi ya 60 kuwa na mtoto sawa na mjukuu wake? ...
Yaani ni kupenda au ni kweli hujui kuwa slaa ametelekeza familia yake kwa kufuata katerero? ...
Unanisikitisha unapojidai haujui kuwa slaa na mbowe wanahidai watetezi wa masikini wakati wenyewe ni matajiri wa kutupwa! ...
Ndio maana sisi masikini tunasema tutatetewa na masikini mwenzetu na sio waigizaji wenu hao wanaosukumwa na ukabila hasa uchagga! ...
samahani kama nimekukwaza!.
mwambie slaa mwenyewe aje kukataa kama mama yake mzazi siyo mchagga! ...Nani kakuambia mtoto huchukua kabila a mama.Huku ni kulazimisha kama wale wanaotaka mpa Yesu ukoo kwa mama.
slaa ni msukule wa mbowe mzee hajitambui mbowe amefanikiwa kumzima slaa mdomo kwa kumlipa mshahara wa mil 7 kila mwezi.