Tumia limao, dondosha tone 2 za juice ya limao au ndimu ndani masaa mawili utakuwa umeanza kupata nafuu.Wapendwa msaada wa dawa nzuri na ya uhakika ya mafua.
Nimejaribu coldrill hayaponi.
Nimechemsha tangawizi,vitunguu saumu na limao lakini bado.
Uuuwiii nafwaa msaada plz.
Mkuu hata mimi yana siku ya 4 hayasikii dawa ni hatari.Wapendwa msaada wa dawa nzuri na ya uhakika ya mafua.
Nimejaribu coldrill hayaponi.
Nimechemsha tangawizi,vitunguu saumu na limao lakini bado.
Uuuwiii nafwaa msaada plz.
Mafua na kichwa ni dalili za ukimwHehehe wanasema mafua ni ugonjwa wa mapenzi sijui huwa wanamaanisha nini
mkuu sex na mafua kwanza mwenzie atamkera harufu ya mafua inavyoboa duhKama mchanganyiko wa limau, tangawizi na kitunguu swaumu haijasaidia basi jaribu hii
1. Amka asb sana kama 5:45am kabla barabara haijawa busy kimbia kama kilometre 5hadi 7. Ukitoka hapo, pumzika kwa lisaa 1 then nenda kaoge na maji ya moto. Fanya hivi for 3 days utaona changes
2. Fanya sex bao 3 kwa interval ya kupumzika usiku mzima, ukiamka utaona nafuu
3. Kama ni mpenzi wa kilaji, piga GIN kama konyagi, K-Vant, Vodka, etc. ila uchanganye na soda kidogo utaona nafuuu
These are general option, changua inayokufaaa zaidi
Koldril au koldikapuNunua zile za cheng a sijui zinaitwaje mm
AsanteKama mchanganyiko wa limau, tangawizi na kitunguu swaumu haijasaidia basi jaribu hii
1. Amka asb sana kama 5:45am kabla barabara haijawa busy kimbia kama kilometre 5hadi 7. Ukitoka hapo, pumzika kwa lisaa 1 then nenda kaoge na maji ya moto. Fanya hivi for 3 days utaona changes
2. Fanya sex bao 3 kwa interval ya kupumzika usiku mzima, ukiamka utaona nafuu
3. Kama ni mpenzi wa kilaji, piga GIN kama konyagi, K-Vant, Vodka, etc. ila uchanganye na soda kidogo utaona nafuuu
These are general option, changua inayokufaaa zaidi
Bie nna mwez sasa bafua yamedibana hatarMie wiki 2
Kimtaa mtaa tunasema 'wee nyoko'... Dah! Nimecheka sana aseee, hadi maandishi yana mafua!Bie nna mwez sasa bafua yamedibana hatar