smallvile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 492
- 238
Hali ya hewa kwa Sasa mvua baridi hewa nzito nguo tunazovaa hazijakauka kwa jua mzunguko wa hewa ndani umepungua
Haya yote yanachangua mlipuko wa homa za mafua
Huu ni ugonjwa wa virus
Viral infection
Unachotakiwa kujua hakuna dawa ya viral infection zote tunazofanya ni supportive treatment
Traditionally kuna matumizi ya mvuke kujifukiza wengine wanatumia matunda kama walivyotaja wanajua zaidi
Dawa za kupunguza flow ya pua
Piritoni wengi mnaijua tatizo inaleta usingizi sana
Sedative
Cetrizine n.a. loratidine hizi hazina sedative effect unaweza kuzitumia zikakusaidia
Huhitaji kutumia antibiotics hazina nafasi wala hazikusaidii unless kuwe n.a. sababu za msingi
Mwone Dr kwa maelezo zaidi