Mafua mafuaaaa

Mafua mafuaaaa

Tumia Cetrizine mkuu two days only utakuwa mpya no mafua tena
 
Centrizine za buku plus vitamin C za buku jero mafua yanangoka
 
Wakuu,mimi nimepona mafua kwa haraka sana kwa kufanya yafuatayo;
1. Menya kitunguu maji kisha chemsha kwa muda mpaka kilainike kiasi. Weka mchanganyiko huo kwenye kikombe cha chai na subiri upoe kisha kunywa kama chai ila usiweke sukari. Fanya hivyo angalau kutwa mara mbili.

2. Twanga tangawizi kiasi kisha chemsha,weka asali kidogo au sukari kisha kunywa kama chai kabla ya kulala na asubuhi. Tangawizi iwe kali kiasi cha kukufanya uweze kupiga chafya kidogo..sio kali saaana lakini.

3. Menya punje sita za kitunguu saum,katakata vipande vidogo vidogo kisha kama vidonge.

Ukifanya haya yote nakuhakikishia utaona tofauti kubwa sana siku yakwanza tu!

NOTE: Usitumie feni usiku wala AC..Epuka mazingira ya baridi baridi wakati wote,maranyingi uwezavyo.

Nawasilisha.
 
Asanteni sana kwa maelekezo,naona yanapotea
 
Wapendwa msaada wa dawa nzuri na ya uhakika ya mafua.
Nimejaribu coldrill hayaponi.
Nimechemsha tangawizi,vitunguu saumu na limao lakini bado.
Uuuwiii nafwaa msaada plz.
Yataisha yenyewe tu hayo baada ya siku nne mpaka tano, hakuna dawa ya mafua
 
Hiyo ni Alargy kwanza jua sababu, yaweza kuwa Upepo, vumbi, baridi, harufu ya rangi, ua nk.

Ulishajua tatizo jiepushe na mazingira hayo, tumia dawa za alargy kama citrezin na nk.
 
Back
Top Bottom