MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
- Obama mfano ni mdogo sana tu, umesikia aliioyafanya na pirates, piga risasi hakuna kujadiliana na mafisadi hiyo haijawahi kuwa tabia ya democrats hii ni mara ya kwanza katika historia ya Democratc party huko US.
- Mwanawasa, alishinda uchaguzi kwa kusaidiwa na mafisadi kama Chiluba Vernon Mwaanga, na kina Wilson Nchikuli na Nlumino Mundia, hawa ndio the Rostams wa huko Zambia, ambako nimewahi kuishi sana mkuu wangu, lakini Mwanawasa baada tu ya kushinda akamgeuka Chiluba na mafisadi wengine wengi wa kutupwa kama kina Elijah Mudenda,
- By the time anakufa tayari alishkuwa half way kuwashikisha adabu mafisadi, alishaweza ku-secure a convinction against Chiluba katika mahakama za UK, na kuweza ku-freeze hela zote za Chiluba UK, ambazo ni millions of dollars, huwezi safisha system kabla hujaanza na wahusika yaani viongozi na mafisadi wote, Mwanawasa was on the right track, as opposed na sisi bongo ambako rais wetu anawaogopa kina Rostam, Mwanawasa alianza na marafiki kama rostam kwanza.
- Rupia Banda, alikuwa ni kiongozi wa UNIP kwa muda mrefu sana under Kaunda, ameshika nafasi nyingi sana za chama cha UNIP wa-Zambia karibu wote wanamfahamu, Sata sijui kama unamfahamu viuri mkuu ni fisadi nambari moja, na ni mgeni wa siasa za Zambia, wananchi wa Zambia sio wajinga walishagundua kwamba Mwanawasa hayupo tena na mambo yake yamesha isha, kwa hiyo wakachagua experience in Banda, meaning political stability over fisadi Sata.
- This is typical you, bila maneno ya hovyo hovyo personally huwezi kumaliza hoja, mimi niliposema uvivu wa kufikiri sikumlenga anybody personally, lakini mkuu wangu huwezi andika hoja bila hizi lugha vipi mkuu ukiziacha maana uvumilivu huwa una kikomo chake, kama huwezi hizi debate hasa na mimi bila hizi maneno ya hovyo hovyo, please acha kunijibu na sitagusa hoja zako, ninajaribu kukupa heshima naona huitaki mkuu hatuhitaji hizi katika kujadili mustakabali wa masilahi ya taifa letu, sitasema on this personal thing tena maana nimesema ya kutosha sasa.
Respect.
FMES!
Mnaogopa kubadilisha system maana mnajua kuwa nanyi mkipata nafasi mtafanya haya haya mnayowalaumu wenzenu!
Amandla......
tuache uvivu wa kufikiri!
FMES!
Kwa hiyo mimi ninapotumia wingi ninapojibu hoja yako ninakuwa ninaleta personal attacks na wewe unaotuambia tuache uvivu wa kufikiri hainihusu? Wewe na mimi tunajua personal attacks ni nini na wala si hizi. Kujaribu kugeuza kila kitu kinachosemwa katika joto la mjadala kuwa ni personal si vizuri. Halikuwa kusudio langu kukutukana. Lakini kama unaona nimekutukana basi niwie radhi.
Ninachokisema ni kuwa hata kama Rupiah ni msafi n.k. n.k. lakini kwa kutumia mbinu chafu zilizoruhusiwa na utaratibu uliokuweko amejitia dosari. Akija amua kumvalia njuga huyo unaemwita fisadi Sata ataonekana anaendeleza mbinu hizo chafu.
Fisadi Zambia hakuwa Chiluba peke yake. Nadhani ni mke wa Vernon Mwanga ndiye aliyewahi kushikwa akibeba unga India! Mbona hawa wanapeta? Hauwezi kuukomesha ufisadi kwa ku-pick and choose. Ndiyo maana inabidi kuweko utaratibu ambao hata kama ni mtoto wako anahusika utashindwa kumpendelea. Wenzetu si malaika. Lakini taratibu zao za checks and balances ndizo zinazofanya watu wasite kufanya ufisadi. Lakini pamoja na hayo, wako wanaojaribu lakini mara nyingi wanashikwa au wanaumbuka kutokana na utaratibu uliokuweko.
Obama kutoa ruhusa pirates wa kisomali wauawe haikuwa mara ya kwanza kwa rais wa ki-democrat. Clinton aliishaangusha mabomu Sudan na Afghanistan. Mpango wa rendition haukuanzishwa na Republicans. Hata Democrats waliutumia. Anachokifanya Obama si kubadilisha Democrats bali kubadilisha mfumo wa utawala aliourithi kutoka kwa George W. Mojawapo ni kuondoa usiri katika utendaji ambao ulitoa mwanya kwa vitendo vya utesaji wa matekwa wa vita na wengineo. Hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa. Kubadilisha mazingira ambayo yanaruhusu maovu kutendeka.
Amandla.......
1. Ninachokisema ni kuwa hata kama Rupiah ni msafi n.k. n.k. lakini kwa kutumia mbinu chafu zilizoruhusiwa na utaratibu uliokuweko amejitia dosari. Akija amua kumvalia njuga huyo unaemwita fisadi Sata ataonekana anaendeleza mbinu hizo chafu.
2. Fisadi Zambia hakuwa Chiluba peke yake. Nadhani ni mke wa Vernon Mwanga ndiye aliyewahi kushikwa akibeba unga India! Mbona hawa wanapeta? Hauwezi kuukomesha ufisadi kwa ku-pick and choose. Ndiyo maana inabidi kuweko utaratibu ambao hata kama ni mtoto wako anahusika utashindwa kumpendelea. Wenzetu si malaika. Lakini taratibu zao za checks and balances ndizo zinazofanya watu wasite kufanya ufisadi. Lakini pamoja na hayo, wako wanaojaribu lakini mara nyingi wanashikwa au wanaumbuka kutokana na utaratibu uliokuweko.
Obama kutoa ruhusa pirates wa kisomali wauawe haikuwa mara ya kwanza kwa rais wa ki-democrat. Clinton aliishaangusha mabomu Sudan na Afghanistan. Mpango wa rendition haukuanzishwa na Republicans. Hata Democrats waliutumia. Anachokifanya Obama si kubadilisha Democrats bali kubadilisha mfumo wa utawala aliourithi kutoka kwa George W. Mojawapo ni kuondoa usiri katika utendaji ambao ulitoa mwanya kwa vitendo vya utesaji wa matekwa wa vita na wengineo. Hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa. Kubadilisha mazingira ambayo yanaruhusu maovu kutendeka.
Amandla.......
- Rupia Banda ni fisadi mdogo sana, lakini Sata ni fisadi papa sasa Mwanawasa hayupo tena, maana angekuwepo no way angeshindwa na hawa wawili, ndio maana wa-Zambia wakaamua kumpa Banda a former katibu wa UNIP yaani shetani wanayemjua, ingawa ni fisadi mdogo.
- You are right, lakini Mwanawasa alishaanza somewhere tena kichwani, alishaweza kumfikisha kichwa cha ufisadi rais wa zamani kwenye sheria, na alikuwa njiani kushuka chini ndio akafa, otherwise you are right huwezi ku-pick and chose, aliyebeba unga na kushikwa na kufungwa jela alikuwa Vernon Mwanga mwenyewe, sisi haya ya kumfikisha Mkapa kwenye sheria yametushinda, ndio maana ninampa Mwanawasa heshima kwa sababu angalau alifanya hatua moja ambayo sisi imetushinda kabisa kwa sababu ya kujuana sana!
- Hapana alichokifanya Obama ni kuweka utaratibu mpya wa kutumia jeshi ku-deal na mafisadi, kitu ambacho hakijawahi kuwa tabia ya Democrats, Clinton alirusha tu mabomu randomly kujaribu kuiondoa kashfa ya Monica, tena akaishia kubomu kiwanda cha dawa Sudan, SS Cole ilipopigwa Yemen hakujibu, wanajeshi wake walipopigwa Somalia akainua matanga na kukimbia, sasa Obama anabadilisha hizi tabia na kujibu mapigo, lakini ni baada ya kujiunga nao kwanza ambayo ndio hoja yangu ya msingi.
kuwapiga kutoka kwa nje mafisadi Tanzania, tumeshindwa sasa either tujiunge nao na kuwapiga toka within kama Obama na Mwanawasa, au tukubali kushindwa na kuwapa nchi wafanye watakavyo! Au tuendelee kupiga kelele za mlango!
FMES

Nimeshangazwa kidogo na hii thread. Even the fact that imeanzishwa na MMM imenishangaza zaidi. Hata hivyo let me throw away my few cents.
Vita yoyote huwa haishindwi kwa mbinu moja. La muhimu ni kuamini kuwa unapigania the right cause. Hivi tunapigania nini?? Tunapigania nchi au tunapigania maslahi yetu wenyewe kama mtu mmoja mmoja. Ikiwa tunapigania nchi, there is no end. Penye nia pana njia.
Labda iwe tumeshagundua kuwa we are not fighting for a right cause. Kama tumegundua tunapigania maslahi yetu kama Kipimapembe, MMM, Es, etc...etc then labda tujiunge nao kwanza ili turidhishe maslahi yetu ndio tuanze kupigana. Lakini then tutapigania nini ikiwa tumeshapata maslahi yetu??
Nimecheka sana!! Wale mlioona kuwa mnachopigania hamuwezi kuachieve, ni heri mjaribu mbinu zenu hizo nyingine.
Umeshaona Fisi wakiwinda Nyati hadi kumuua?? si jambo rahisi lakini yes Fisi wanamuua nyati. Hata simba hamkamati nyati hivihivi huwa anapigana hasa na inatakiwa simba asiwe mmoja. Simba huwa hawajadiliani kuwa hapa sasa tunaelekea kushindwa, fisi vile vile. Kila mmoja wao hutumia the best advantage aliyonayo kuhakikisha nyati anadondoka.
Sasa kwenye hii vita, initially si lazima wote tukubaliane katika mbinu. There is one enemy and the war has the right cause!! Kwa nini tuanze kupandikizana fear. We shika kichwa cha adui ukiamini kuwa kushika kichwa ndo njia bora. Wacha walioshika mguu, waendelee. Acha walioshika mkia waendelee. Usilazimishe wote kushika kichwa, that's the secret.
Hatima ya yote ni adui kuanguka. Unless tukubali kuwa hatujui tunachopigania. Ikiwa tunajua tunachopigania, maadui tutawajua na tutawaona. Pigana hadi pale unapoweza. Unapo-retreat usiwaambie wenzio kuwa mie nimeretreat.
Nadhani kwa hii thread MMM ana-anza kuwear na anatuambia wengine wote kuwa ame-wear. Hahahaaaa, hata Zitto at time alirudisha majeshi nyuma.
If you believe you are fighting for the right cause, keep going!! Others are doing it too!! Utashangaa adui atakavyoanguka kirahisi.
- Rupia Banda ni fisadi mdogo sana, lakini Sata ni fisadi papa sasa Mwanawasa hayupo tena, maana angekuwepo no way angeshindwa na hawa wawili, ndio maana wa-Zambia wakaamua kumpa Banda a former katibu wa UNIP yaani shetani wanayemjua, ingawa ni fisadi mdogo.
- You are right, lakini Mwanawasa alishaanza somewhere tena kichwani, alishaweza kumfikisha kichwa cha ufisadi rais wa zamani kwenye sheria, na alikuwa njiani kushuka chini ndio akafa, otherwise you are right huwezi ku-pick and chose, aliyebeba unga na kushikwa na kufungwa jela alikuwa Vernon Mwanga mwenyewe, sisi haya ya kumfikisha Mkapa kwenye sheria yametushinda, ndio maana ninampa Mwanawasa heshima kwa sababu angalau alifanya hatua moja ambayo sisi imetushinda kabisa kwa sababu ya kujuana sana!
- Hapana alichokifanya Obama ni kuweka utaratibu mpya wa kutumia jeshi ku-deal na mafisadi, kitu ambacho hakijawahi kuwa tabia ya Democrats, Clinton alirusha tu mabomu randomly kujaribu kuiondoa kashfa ya Monica, tena akaishia kubomu kiwanda cha dawa Sudan, SS Cole ilipopigwa Yemen hakujibu, wanajeshi wake walipopigwa Somalia akainua matanga na kukimbia, sasa Obama anabadilisha hizi tabia na kujibu mapigo, lakini ni baada ya kujiunga nao kwanza ambayo ndio hoja yangu ya msingi.
kuwapiga kutoka kwa nje mafisadi Tanzania, tumeshindwa sasa either tujiunge nao na kuwapiga toka within kama Obama na Mwanawasa, au tukubali kushindwa na kuwapa nchi wafanye watakavyo! Au tuendelee kupiga kelele za mlango!
FMES
Obama hakuweka utaratibu mpya. Alichokifanya in principle ni kile kile alichofanya Bill Clinton na hata Jimmy Carter ( ingawa bila mafanikio) kabla yake. Kuwashughulikia pirates wanne wa kisomali ni tofauti na kushughulika na Al Qaeda au viongozi wake.
Tofauti yangu mimi na wewe ni kuwa kwangu mimi hakuna cha fisadi mdogo au fisadi papa. Fisadi mdogo akiachiwa atakuwa fisadi papa ambae nae akiachiwa atakuwa fisadi nyangumi. Wote hawa ni mafisadi na ni lazima tuweke taratibu za kuhakikisha kuwa hata hao mafisadi wadogo hawataweza kuwa mafisadi nyangumi!
Obama hakuishia tu kudai wakuu wa GM wawajibike bali aliwasukumiza wabadilishe structure yao ili yaliyotokea sasa yasije tokea tena. Hivyo hivyo kwa Chrysler. Hivyo hivyo kwa mabenki. Geithner nae amesema ataongeza regulation ya derivatives ili kuhakikisha makosa hayarudiwi.
Kuuawa kwa Escobar hakukumaliza biashara ya madawa ya kulevya Colombia! Vile vile kwa kila fisadi papa atakaeshughulikiwa kuna mafisadi wadogo kibao ambao wanangojea kuchukua nafasi yake. Ndiyo maana nasema ni lazima tubadilishe system. na system si katiba tu bali inajumuisha na taratibu na miongozo ya utendaji kazi. Bila ya kufanya hivyo tutaendelea na mchezo wa musical chairs.
Amandla.....
ufisadi wa Tanzania umejifunza sana kutokana na mafisadi wa nchi nyingine, wanajua ni vitu gani vya kufanya na vipi vya kutokufanya.. Wanajua hulka moja ya Watanzania nayo ni kuridhika kirahisi. Lakini zaidi wanajua pia kuwa ukiwaambia mambo ya "uvunjifu wa amani" siku chacha baada ya kilichotokea Mbagala wanajua kabisa Watanzania hawawezi kufikiria kukaa zaidi ya siku moja katika mazingira ya namna hiyo..