Ninasema watanzania tunashinda kila siku kwa kumaanisha kwamba kila siku tunapiga hatua mbele katika , Kuhoji na kushiriki katika mambo mbali mbali ya maendeleo. Vijana wengi sasa wameshaanza kuamka na kuanza kudai nchi yao. Tupo katika Safari ya Ushindi kuelekea maendeleo, unaweza ukafikiri hatupigi hatua ila mimi ninaona tunapiga hatua.
Ninachompinga mwanakijiji ni ile notion ya kwamba RA ndie anayesababisha umasiki wa Tanzania, Kwanini anaogopa kuitaja CCM ambayo kwa mika 40 bado imeshindwa kutufikisha tunapotaka kufika.
Mwanakijiji ana agenda yake ya siri , Mimi ninamwomba atueleze nafasi ya CCM katika kutupa huo umasikini, pili atuambie nafasi ya CCM katika kumpa nguvu RA .
All warfare is based on deception. Hence, when able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must seem inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near. Hold out baits to entice the enemy. Feign disorder, and crush him.
- Sun Tzu, the Art of War
If your enemy is secure at all points, be prepared for him. If he is in superior strength, evade him. If your opponent is temperamental, seek to irritate him. Pretend to be weak, that he may grow arrogant. If he is taking his ease, give him no rest. If his forces are united, separate them. If sovereign and subject are in accord, put division between them. Attack him where he is unprepared, appear where you are not expected.
- Sun Tzu, the Art of War
If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle.
- Sun Tzu
The good fighters of old first put themselves beyond the possibility of defeat, and then waited for an opportunity of defeating the enemy. To secure ourselves against defeat lies in our own hands, but the opportunity of defeating the enemy is provided by the enemy himself. Thus the good fighter is able to secure himself against defeat, but cannot make certain of defeating the enemy.
- Sun Tzu
The clever combatant imposes his will on the enemy, but does not allow the enemy's will to be imposed on him.
- Sun Tzu
If we wish to fight, the enemy can be forced to an engagement even though he be sheltered behind a high rampart and a deep ditch. All we need do is attack some other place that he will be obliged to relieve...All we need do is to throw something odd and unaccountable in his way.
- Sun Tzu
Should the enemy strengthen his van, he will weaken his rear; should he strengthen his rear, he will weaken his van; should he strengthen his left, he will weaken his right; should he strengthen his right, he will weaken his left. If he sends reinforcements everywhere, he will everywhere be weak.
- Sun Tzu
We cannot enter into alliances until we are acquainted with the designs of our neighbors.
- Sun Tzu
If we know that our own men are in a condition to attack, but are unaware that the enemy is not open to attack, we have gone only halfway towards victory. If we know that the enemy is open to attack, but are unaware that our own men are not in a condition to attack, we have gone only halfway towards victory. If we know that the enemy is open to attack, and also know that our men are in a condition to attack, but are unaware that the nature of the ground makes fighting impracticable, we have still gone only halfway towards victory.
- Sun Tzu
I myself I can take out RA,
that why I believe if CCM wants they can too.
And if you dont believe me PM me and I will give you a stratergy which will take you only three 3 weeks make him history in Tanzanian politics.
But I need a proof why CCM cant take him out.
You can not!
if you could do that.. you'll be my hero!
I can take him out very easily. I am sure you ... I can
I will need a post strategy of cleaning the rest of Mafisadi first , because I dont belive he is the only and that he is the main problem, I belive almost 80% of Kamati Kuu it has to go. If you only tell me how we gona do that. I promise I will pass you a stratergy which will take you very short time to map him out of the political map of Tanzania.
Huyu RA ni nani mpaka kulumbana naye kuhatarishe usalama wa taifa. Huyu RA ni nani mpaka jina lake lisipatikane kwenye daftari la usajili wa makampuni yanayodaiwa ni yake. Huyu RA ni nani serikali iliyochaguliwa na wananchi imtetemekee na kumlinda kwa hali yoyote hata ikibidi kumpoteza Gavana Mzima wa Benki. Kujiuliza haya maswali hatutaweza kupata majibu lakini nina hakika tukiacha kumwangalia kama individual na kuanza kumjadili kama institution labda tunaweza tukafikia majibu. Swali what is RA is more appropriate at this stage badala ya who is RA. Kwa nini serikali imwogope na kumlinda RA, what does he represent and who is he representing and why ? Kwa nini Raisi wetu hatulii nyumbani Tanzania na kwa mantiki hiyo hiyo kwa nini aliutaka Uraisi. Kwa nini Mzee wetu Malecela kaanza kupiga filimbi mapema hivi apewe kipindi cha pili. What is the connection between these three - Iran ? I am just talking to myself or just plain day-dreaming - hizi ndoto za mchana zina matatizo, I admit.
don't worry about the rest of them.. most of them stand or fall with RA. So.. lets deal with this one first and you'll see how many he'll take down with him.. about 40 of them..!! The whole group that met at EL Dodoma usiku wa kuamkia Alhamisi ile..
I wish you knew what is going on..
Je kuna matumaini? Je, tuwaachie nchi kwani nasibu iko kinyume yetu? Je tukubali yaishe ili tuendelee kuzungumzia mambo mengine ya maendeleo? Je, Je tuwaachie nchi watawale wapendavyo!? Je tujiunga nao ili tuwabomoe kutoka "ndani"?
Hatujiulizi kuwa hao mafisadi tunaowaandama tukishawashinda, nini kitafuata? Jirani zetu Kenya waliing'oa KANu na kuweka matumaini yake kwa waliokuwa wakitema cheche dhidi ya ufisadi na sote tunajua yaliyotokea. Bila shaka kuna wengine wao wanaona heri wakati wa Moi. Na sisi hivyo hivyo. Tunadhani tukiitoa CCM, tukamfunga RA basi mambo yetu yatatunyookea! Si hivyo hata kidogo.
.
- Mkuu mfano hauko sawa, Kenya ni mafisadi wenyewe waliamua kujigeuza na kuwauza wananchi, Kibaki na Moi walikuwa kitu kimoja mpaka leo ni one thing, ilikuwa ni kanyabwoya tu hebu uliza Mwanawasa hakuwa fisadi alivyonyoosha huko Zambia, kama tunatka mabadiliko hatuhitaji hizi lame excuses, either uko na mafisadi yaani Makamba/Rostam/Manji au uko na wananchi/Mengi, hakuna nafasi ya neutrality hapo!.
Respect.
FMES!
- Obama ameshaaanza kuisafisha Democratic party akiwa ndani, yaani baada ya kujiunga nao kwanza.
- Mwanawasa alijiunga nao kwanza, Muluzi alijunga nao kwanza mifano ipo, tuache uvivu wa kufikiri!
FMES!
Huo uchafu unaousema wewe ni upi.Unalingalisha uchafu wa democrat ya akina Obama na huu wa CCM???- Obama ameshaaanza kuisafisha Democratic party akiwa ndani, yaani baada ya kujiunga nao kwanza.
- Mwanawasa alijiunga nao kwanza, Muluzi alijunga nao kwanza mifano ipo, tuache uvivu wa kufikiri!
FMES!
Mkjj,leo nilikuwa naongea na waziri mmoja ambaye alipata kuwa kiongozi wa vijana,akasema kuwa mwkjj anaongea mambo ya msingi sana,nimepitia hoja zako hapa kwa utaratibu mkubwa,naweza kusema kuwa zimejaa chuki binafsi dhidi ya rostam na harufu ya ubaguzi wa rangi,,haimzuii RA kuendelea kuishi maisha yake ya heshima mbele ya jamii...jamaa ana akili sana na tena wanaitajika wana JF kama mia kutoa kichwa kimoja kama cha RA