It might push the leaders to be more aware of the people they lead. CCM never lost an election & no sitting president has ever lost a second term, if JK looses then that will be a big message sent by the people telling the leader that non of them are immune. Nadhani tatizo kubwa ni kwamba kuna baadhi ya viongozi wana jiona nothing can ever be done to them. If we do something to them then it will make them check their egos & inflated heads.
Hatimaye nimefikia hitimisho kuwa juhudi za kupambana na ufisadi nchini hazitofanikiwa na ya kuwa upepo wa ushindi unavuma kuelekeza merikebu za mafisadi kuelekea ushindi! Zaidi ya watu kulalamika pembeni na kuonesha kuchukizwa na ufisadi, himaya ya ufisadi itazidi kujikita na kupenya katika vyombo vingi zaidi kwani sasa hivi dalili zote zinaonesha ufisadi haufanywi na mtu mmoja bali umekuwa ni mtandao wa uhalifu ambao umeundwa na wasomi, wanasiasa, wafanyabiashara na watu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii.
Unajua shida ya CCM ni ile arrogance kuwa they can never lose. Hawajajiandaa for that possibility. Well, times do change and things that used to be can become used to be.
Ninashukuru umefumbua macho nakuelewa kinachotusibu, Niliona ulikuwa unapoteza mwelekeo kwa kutaka kutulazimisha tukubari kwamba ufisadi wote wa Tanzania unasababishwa na RA, I think this is a right path for us to have an honest and open debate inayohusu mwelekeo halisi wa nchi yetu rather than spending three weeks discussing mtu mmoja yaani RA.
Tungetumia wiki tatu zilizopita kujadili ni jinsi gani tunaweza kuirekebisha sytem inayo encourage ufisadi tungekuwa tumefika mbali sana but rather mheshimiwa ulikuwa very intrested kujua RA alisoma wapi which has nothing to do with the real devil in detail which is the corrupt sytem we have.
Usikate Tamaa, Watanzania watashinda, hawajaanza kushinda leo.
Siku zote nasema tatizo ni kuwa hakuna leadership katika jamii zetu. Kama ingekuwa west africa au south America tayari wananchi wangeshaji organize na kuingia mitaani. Demonstrations, migomo n.k Lakini hapa kwetu mtu unaibiwa halafu unafukuzwa kama mbwa. Wako wapi wasomi wetu, wako wapi wanamapinduzi, wako wapi political leaders. Mbona hofu inatuumiza? Vijijini watu hawana shida. Siku zote mass si problem tatizo ni kupata watu wa kuongoza watu. Watu wenye courage. Daring waweke wazi mwelekeo na kutupa dira. Nakwambia hakuna hata mmoja atakaye baki ndani. Watu wameshachoka lakini hatujui tunaanzia wapi. Tanzania yetu masikini.
Mkjj,leo nilikuwa naongea na waziri mmoja ambaye alipata kuwa kiongozi wa vijana,akasema kuwa mwkjj anaongea mambo ya msingi sana,nimepitia hoja zako hapa kwa utaratibu mkubwa,naweza kusema kuwa zimejaa chuki binafsi dhidi ya rostam na harufu ya ubaguzi wa rangi,,haimzuii RA kuendelea kuishi maisha yake ya heshima mbele ya jamii...jamaa ana akili sana na tena wanaitajika wana JF kama mia kutoa kichwa kimoja kama cha RA
Duuuh!Mkjj,leo nilikuwa naongea na waziri mmoja ambaye alipata kuwa kiongozi wa vijana,akasema kuwa mwkjj anaongea mambo ya msingi sana,nimepitia hoja zako hapa kwa utaratibu mkubwa,naweza kusema kuwa zimejaa chuki binafsi dhidi ya rostam na harufu ya ubaguzi wa rangi,,haimzuii RA kuendelea kuishi maisha yake ya heshima mbele ya jamii...jamaa ana akili sana na tena wanaitajika wana JF kama mia kutoa kichwa kimoja kama cha RA
Duuuh!
Ana akili sana eh?
Sijabadili kitu chochote, ufisadi tunaoupigia kelele sasa hivi unafungamana moja kwa moja na mtu mmoja Rostam. Ninaamini ndiye anawakilisha clear and present danger to our way of life and our democracy. Ni mtu mwenye nguvu kuliko Rais na asili ya nguvu hiyo hata kuifikiria hairuhusiwi.
Kushindwa kwetu kutokana na mtu huyo mmoja.
Hili bado ninalo. Baba yake akiwa raia wa Iran (by the way Makamu wa Rais wa Iran aliingia nchini siku ya Jumapili jioni, na haikutangazwa kuwa tulikuwa tunatarajia ugeni huo wa kitaifa hadi anaibukia jumatatu. siku ambayo serikali inatoa tamko lenye kumpendelea Rostam, raia wa Iran).
Walishinda mara ya mwisho lini?
........... Ni kweli kabisa umafia upo Tanzania na kwa bahati mbaya unawanufaisha baadhi ya watu wanaoufanya wakidhani wanalisaidia Taifa. ..........
I think your statement is insane, RA hana uwezo unaotulazimisha tuamini kuwa anao. Mwanakijiji are you here to protect the brand of CCM by trying to sway our opinion kwamba RA ndio shetani wa matatizo yetu?
Shetani wa matatizo yetu ni Kamati kuu ya CCM and RA is just a member
, katika kumpa kwako RA nguvu sujakusikia hata maramoja ukiongelea nafasi ya CCM katika kumuongezea au kumpa nguvu RA ila una zunguka zunguka can you please come up with a solid statement kuhusu nafasi ya CCM katika nguvu za RA?
and on saying RA ana nguvu sana so you want us to beleieve kwamba kama kesho CCM haitakuwa madarakani bado RA atakuwa na nguvu?
Swala la Makamu wa Rais wa Iran Kuja Tanzania halihusiani na RA inawezekana hawajatangaza kwasababu za kiusalama,
Ni nani katika nchi za magharibi ambaye hapendi Rais au makamu wa rais wa Iran auwawe, hata wamarekani wana suprise visit kibao Iraq sehemu ambayo bado majeshi yao ya usalama yapo.
Mimi ninaamini unajitahidi kutafuta information amabzo hazina manufaa kwa watanzania ili zituchukulie mda na tuache kuangalia tatizo halisi amabalo ni system mbaya na iliyokufa ya siasa za kamati kuu ya CCM ambayo imeshindwa na ina encourage ufisadi.
Watanzania tunashinda kila siku, Vijana wa miaka 18-28 wameshaanza kuamka na hii ndio generation itakayoleta mabadiliko Tanzania , kwangu mimi ninahesabu kama ushindi sijui wewe. Maana hawa ndio washika hatamu of the more prosperous Tanzania.
Mwisho naomba msimamo wako katika nafasi ya CCM katika Vita ya ufisadi
LeoKweli unaamini kwa dhati kabisa Tanzania tunashinda kila siku? Hivi unajua ufukara walionao watanzania wewe? One of the poorest countries in the world with all the resources!! Sasa hivi Tanzania ni kati ya nchi zinazoongoza duniani kwa illiteracy ya watu wake. Unajua hilo wewe? For your information kama ni ushindi ni kwa kina Rostam na watu wao. Tanzania is a failed state!
Ninachompinga mwanakijiji ni ile notion ya kwamba RA ndie anayesababisha umasiki wa Tanzania, Kwanini anaogopa kuitaja CCM ambayo kwa mika 40 bado imeshindwa kutufikisha tunapotaka kufika.
Mwanakijiji ana agenda yake ya siri , Mimi ninamwomba atueleze nafasi ya CCM katika kutupa huo umasikini, pili atuambie nafasi ya CCM katika kumpa nguvu RA .
CCM ni tatizo lakini CCM ni watu. Na watu hao ambao wameiharibu CCM hivyo kinara wao ni Rostam. Binafsi naona matatizo ya CCM yanahusiana moja kwa moja na uwepo wa Rostam ndani yake kuliko yeye kuwa nje. Sielewi kwanini hutaki kumhusisha RA na matatizo yaliyopo ndani ya CCM.
Kwahiyo unaniambia CCM ilikuwa clean kabla ya RA hajaingia huko mwaka 1994.
There is a big consesus between High members of CCM Leadership on what RA is doing and that why he is succesfull to impliment whatever evil he want, because in any way he represent the majority view of the High CCM Leadership otherwise wangekuwa wameshamng'oa.
CCM High Leadership imetugengenezea kina Chavda,EPA,Kiwila na mengine mengiiiiiii, therefore we have proved time to time kwamba when we deal na mtu mmoja mmjoja it doesnt help and the main solution is to take on the whole gang by taking on their umbrella which is the Kamati Kuu ya CCM which has a consesus kwenye ufisadi, taking out just one vote out of 1000 it wont help us much.
We will come back here in 2 years with a new name asking where are they from while we will be sitting in the same shit.
Sio kweli Sikatai kumhusisha RA na matizo ya CCM
but we need to deal with the big picture which is the whole comitee,
because hata ukisema RA anaondoka leo CCM if he still wana be there he can put his puppet to continue to drive his agendas but if we erase the whole High level CCM leadership that will be a proper fall of RA because eventually we will be able to take over the Leadership with the new clean ethics in place.
Now I see that your so loyal to CCM to the extent unaona kama ni dhambi kukitaja chama hata kama kina matatizo na ndio maana unazunguka zunguka kumtaja mtu mmoja.
Kama Viongozi wa CCM wakitaka RA siku moja tu hamalizi ndani ya Chama, Ila wanmkumbatia kwasababu they have alot in common
H
Si kweli.. hakuna kiongozi wa CCM anayeweza kumnyoshea RA kidole au kumuondoa. Ataondoka akitaka siyo kwa sababu CCM inataka aondoke na akiondoka ataondoka kwa matarumbeta na shangwe na huzuni na machozi.
You still have no idea who RA really is. I wish I could tell you.. but if I do that I'll have to..