Mafisadi wametufanya mbaya sana angalia Kenya

attachment.php

Na hii imeanza Kenya baada ya NARC kuiondoa dudu linaitwa KANU.

WaTz msiogope mabadiliko. Mkiogopa mtabaki jinsi mlivyo
 
Hahahahaaaahahaaaaaa wakijenga fly over kutakuwa hamna foleni za magari hivyo hatuwezi kuonekana tumeendelea hahahaaa AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA!

ha ha ha ama kweli nchi yang tz!!
Na hizo akili ndogo ndio zmetufkisha hapa mfano ngoja kampeni zianze tutaziskia ahadi na vipaumbele kibao then after hazitekelezeki tunaishia kuagwa na wasanii na kuwakaribisha watia nia
 
tunaweza fikiri tatizo ni ufisad lkn nikwambie hata kenya wanaiba ni balaaa kwa hyo so sana kiivyo bali tatizo kubwa sanasana la nchi yetu ni kuuza mali na sio rasilimali hapo ndio tatizo mfano tunalima pamba tunauza kilo sh 1000 hyo ni mali sasa kenya wananua hyo kilo moja wanatengeneza mashati 100 ya cotton shati moja ni sh 25000 mara 1000 ni milion 25 shati ni rasilimali iliyotokana na mali (pamba) kwahyo muuza mali mtanzania anapata 1000 mkenya muuza rasilimali anapata mil25 kwa nini asitoke huo ndio ujinga wetu kama tuna mali pamba kws nn tusilete kiwanda cha nguo hapa tukatengeneza nguo kibao tukapa pesa kibao nakwambia tusipobadilika hatutoki leo tanzanite inazalishwa tz anaisafisha mkenya anatengeneza hereni kibaaao bei mbayasana sisi tunabaki wachimbaji tu yani maapinduzi ya viwanda yanatakiwa haraka.sanasana hata chama gani kije bila ya kuleta viwanda vya kutosha kama mkakati zitabaki stori zilezile.
 
Kale kawimbo Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote!
 
Akili matope zinadai fly overs ndio suluhisho la foleni Dar. Wenye akili wanasema tatizo la folleni ni kukosa road network hasa feeder roads. Kumbe wangejenga barabara zote za ndani huko SINZA, magomeni nk, zingeondoa folleni kwa asilimia 80%

Akili matope zinasema mradi wa DART ni suluhisho la follen Dar. Wenye akili wanasema daladala zitapungua mjini na watu waliokuwa wanasafiria daladala watahamia kwenye DART. Magari binafsi bado yatakuwepo na foleni itaendela kuwepo. Kumbe wangejenga fast trains na compound kuubwa ya kupaki magari. Kwa hiyo watu wengi wangevutiwa kuacha magari binafsi kwenye hiyo secured parking wakaingia town kwa fast train.
 
Afu utasikia wana CCM wakijisifu tutashinda ushindi wa kishindo.
 
Wewe huna gari ndio maana Watu wanaofisi zao magarini! Msemo wako hata kenya China na ulaya kujenga flyover ni wamefanya akili matope
 
na utasikia mtu anasema tanzania kuna highway.. napatwaga na hasisa balaa

Au utasikia foleni ya Dar sababu ya magari mengi wakati ukweli wenyewe foleni inasababishwa na ukosefu wa miundombinu. Barabara ndiyo hizo hizo za miaka ya 1960!

Nairobi ina magari mengi zaidi ukiangalia uwiano wa watu na idadi ya magari. Maana yake Dar ni cha mtoto kwa Nairobi. Tunawachukia wakenya nami nikiwemo lakini ndiyo ukweli mchungu
 
Bunge linalojaa ccm ni bunge la ndio mzee....NO VISIONARY MPs in ccm.
WOTE WACHUMIA TUMBO.
Na hivi kutakuwa na magori ya mikono basi tusahau maendeleo
 
Ndugu mi ninapoangalia jinsi watu wanavyoshabikia watawala na mipango yao mibovu, wanashangilia katiba inavyoharibiwa ili viongozi wawe Miungu watu, unakuta mTz anafurahi. Inanitia uchungu sina wa kumshtakia. Sijui tulirogwa na nani, hatuwezi kujilinganisha na nchi zilizopiga hatua tunabaki kuishabikia ccm kama dini !!!?. Ajabu
 
Bado watu wanataka maccm yaendelee kuongoza, mtu akikariri majina na km za barabara ndo yanachekelea kama matoto.......kweli yaliyofeli shule au yaliyopita kwa kuibia mitihan utayajua tu!
Asa tunapopata uhuru tulikuwa na tofaut gan na hawa Kenya mpk sis leo hata kupata maji salama limekuwa tatizo

#CAMPAIGN_CHINJA_CCM
#VIVA_UKAWA
 
Back
Top Bottom