Mafisadi wametufanya mbaya sana angalia Kenya

Mafisadi wametufanya mbaya sana angalia Kenya

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
ImageUploadedByJamiiForums1438937549.626449.jpg
 
Nilienda uwanja wa JKIA sasa hivi ina terminal 11 na jinsi unavyoendelea kukarabatiw nikabak najisikia aibu kwa nchi yangu tanzania maana tungali bado tunamark time na barabara za magufuli huku tukimsifu kwa kuyajua majina na km zake...
 
Kuna mwendazim aliwah kusema tusijifananishe na Kenya nao wana changamoto zao

changamoto huwa hazikosekan popote kunapokuwa na watu but kujifananisha na kenya kwa ishu za maendeleo tena ambazo na sisi tuna uwezo nazo sidhani kama ni kosa.
 
Nilienda uwanja wa JKIA sasa hivi ina terminal 11 na jinsi unavyoendelea kukarabatiw nikabak najisikia aibu kwa nchi yangu tanzania maana tungali bado tunamark time na barabara za magufuli huku tukimsifu kwa kuyajua majina na km zake...

Baba yani hapa kuna hela watu wanakula balaa wanafanya ufisadi alafu wanaenda nje ya nchi kufungua kesi mijamaa milafi sana
 
eti utaskia nimejenga fly over....fly over zenyew tatu kati wenzetu wanaflyover hazihesabiki na hupigwi jua wala kunyeshewa na mvua

Hahahahaaaahahaaaaaa wakijenga fly over kutakuwa hamna foleni za magari hivyo hatuwezi kuonekana tumeendelea hahahaaa AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA!
 
Kila nchi ina ufisadi wake.
Vipaumbele ndo vina angalia how serious you are.
 
Back
Top Bottom