kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,940
- 7,849
thead zingine bana.. sasa hiyo ndio nini? sasa mtu akiweka picha ya dart si sawa tu! kipenda nyama hula nyama mbichi ndio maana mnashangilia makapi kama mazuzu.

wewe vipi..watz wanaendesha magari london newyork hawapotei ndio nairobi! wacheni uzuzu. ndio nyie kila siku ku quote ooh rwanda sijui vile ooh kenya etc wakati mambo makubwa ya maendeleo yanafanyika tz.Toka nenda Nairobi utajua watu wanzungumzia nini. Tena nenda na gari lako utapotea mpaka ujute
wewe vipi..watz wanaendesha magari london newyork hawspotei ndio nairobi! wacheni uzuzu. ndio nyie kila siku ku quote ooh rwanda sijui vile ooh kenya etc wakati mambo makubwa ya marndeleo yanafanyika tz.
Wewe ni mnufaika wa mfumo eeeh kwa Kenya watanzania bado miundo mbinu mibovuwewe vipi..watz wanaendesha magari london newyork hawapotei ndio nairobi! wacheni uzuzu. ndio nyie kila siku ku quote ooh rwanda sijui vile ooh kenya etc wakati mambo makubwa ya maendeleo yanafanyika tz.
Wewe ni mnufaika wa mfumo eeeh kwa Kenya watanzania bado miundo mbinu mibovu
Wengi wana fake life in jf lakini ni choka mbaya sana. Kwangu Mimi Kenya wanajitaidi sana kwenye kila kitu wametuzidi ingawa mapungufu hayakosekani. At least tujifunze mazuri kutoka kwao.Mnufaika wapi huyu njaa inamuuma labda hapo hajakula maana wengi wa watu humu ni watu wa kawaida sana. Kama huamini andika article ya kiingeleza uone Nani ata comment. Kuna article niliandika watu wanajibu tofauti kabisa na mada!
Mnufaika wapi huyu njaa inamuuma labda hapo hajakula maana wengi wa watu humu ni watu wa kawaida sana. Kama huamini andika article ya kiingeleza uone Nani ata comment. Kuna article niliandika watu wanajibu tofauti kabisa na mada!
​Hivi mdau umewasahu wanasiasa wetu kwa justifications?changamoto huwa hazikosekan popote kunapokuwa na watu but kujifananisha na kenya kwa ishu za maendeleo tena ambazo na sisi tuna uwezo nazo sidhani kama ni kosa.
haya bana naona umekua king'ang'anizi.Poa siku hizi GPS ipo but tusibishane nenda Nairobi one day tu inatosha! Anza na airports kwa hiyo fly from Dar es salaam to Nairobi alafu ingia street uone kama mavi hayajakubana. Mafisadi wa Tanzania wanahamisha mabillion kwa ajili ya maendeleo zinafichwa Malaysia na Marekani siku hizi hawapeleki USWISS
kwa uchumi wa Tanzania hakuna hata soko la Tanzanite kenya ndio wananufaika! Dhahabu inachotwa hadi udongo! Tumekaa tu!naomba tathmini ya gharama ya kujenga hiyo barabara na gharama ya kujenga yale madaraja matano tukianza na kigamboni.
mnazungumzia foleni za dar tu nani kashafka mahenge hapo ni mpaka pantoni mwisho wa safari saa kumi na mbili. daraja sasa linajengwa kawaulilze watu wa mahenge kadhia ya pantoni watakuambia
Mnufaika wapi huyu njaa inamuuma labda hapo hajakula maana wengi wa watu humu ni watu wa kawaida sana. Kama huamini andika article ya kiingeleza uone Nani ata comment. Kuna article niliandika watu wanajibu tofauti kabisa na mada!
Ulikua unakwenda vizuri lakini kwa post yako hii umevuruga kila kitu ,irejee tena kuisoma utaelewa nnachomaanisha!kila la kheri
kwa uchumi wa Tanzania hakuna hata soko la Tanzanite kenya ndio wananufaika! Dhahabu inachotwa hadi udongo! Tumekaa tu!
ubinafsi, uroho na uvivu wa kufikiri kwa viongozi wetu ni tatizo sugu.