Mafisadi wametufanya mbaya sana angalia Kenya

Wengi wana fake life in jf lakini ni choka mbaya sana. Kwangu Mimi Kenya wanajitaidi sana kwenye kila kitu wametuzidi ingawa mapungufu hayakosekani. At least tujifunze mazuri kutoka kwao.
Ila wengine mnajichora live. Mnakionyesha jinsi mlivyo kichwani, Yaani hakuna enlightment kabisa. Utapotea Nairobi kwa lipi?
Mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara ni $1.2 billions na mradi wa Thika highway ni $326 million. Yaani bomba la gesi peke yake linatoa hizo highways tatu.
Kwanini mnajiaibisha mitandaoni kwa hoja nyepesi?
Hizo projects zote ni mikopo ya wahisani na hiyo barabara ishaanza kupasuka. Bomba la gesi litawezesha utengenezwaji wa 4000MW za umeme, unaweza kuifanya Tanzania iwe na uwezo wa kusupply 50% ya watu wake.
Nyinyi mnapiga kelele ila kuna watu wanapiga mzigo mchana usiku trying to build this country, watu wana patrol usiku mchana, maporini mpaka deep sea trying to protect you.
Wapeni angalau hao heshima kwa kujadili mambo ya maana.
Shenzi type!!!
 
Akili matope zinadai fly overs ndio suluhisho la foleni Dar. Wenye akili wanasema tatizo la folleni ni kukosa road network hasa feeder roads. Kumbe wangejenga barabara zote za ndani huko SINZA, magomeni nk, zingeondoa folleni kwa asilimia 80%

Akili matope zinasema mradi wa DART ni suluhisho la follen Dar. Wenye akili wanasema daladala zitapungua mjini na watu waliokuwa wanasafiria daladala watahamia kwenye DART. Magari binafsi bado yatakuwepo na foleni itaendela kuwepo. Kumbe wangejenga fast trains na compound kuubwa ya kupaki magari. Kwa hiyo watu wengi wangevutiwa kuacha magari binafsi kwenye hiyo secured parking wakaingia town kwa fast train.

Mkuu kobelo embu msome jamaa.kinachotusumbua sisi hatuelewi tunafanya nini
 
Back
Top Bottom