Mafisadi kuhamia CHADEMA?

Mkuu kwanza samahani unaposema uongozi wa juu wa CHD unamaanisha nani maana sasaivi kunaviongozi wawili ambao kwa sasa sifazao zinashabihana kabisa ni yupi unayemlenga au unawaongelea wote wawili????
Mkuu fuatilia habari za jana magazetini, Mbowe kaingiziwa mabilioni kwenye akaunti zake huko Dubai na Hongkong!

Aliyefanya hivyo ni hao viongozi waliopokelewa majuzi.
 
Mkuu fuatilia habari za jana magazetini, Mbowe kaingiziwa mabilioni kwenye akaunti zake huko Dubai na Hongkong!

Aliyefanya hivyo ni hao viongozi waliopokelewa majuzi.

Siwaelewi ambao bado wanataka kusita. Hata statement ya Chadema ya jana hajakataa uwepo wa akaunti hizo na transfers. Kasema tu oh siyo ajabu eti mfanyabiashara wa kimataifa. Anafanya biashara gani? Mbona tunajua ni mmiliki wa Bilicanas hayo mengine hatuyajui?
 
nashangaa kama Dr.Mafuli kumbe nchi yetu mtu kuitwa fisadi mpaka atoke kwenye chama kinacho kumbatia mafisadi ndohutamkwa hadharani kwamba ni fisadi hata kama ilikuwa tuhuma ndo maana waliopata mgao wa ESCROW wanaitwa mashujaa kwenye chama cha kijani japo kuwa walitumia kitibia na kununua mboga za mabilioni.

hivi fisadi hachukuliwi hatua akiwa chama tawala haswa ikiwia ni tuhuma tu ila inathibitika kwamba katenda kosa ahamapo chama fulani nashangaa kama Dr.Mafuli kwamba chama tawala hukumbatia mfisadi na huwaita mafisadi watokapo nje ya chama twala

naungana na kutokubaliana na mahakama zilizopo nchini kwamba zimekosa credibility mpaka Dr.mafuli ataunda mahakama maaluma ya mafisadi sasa mafisadi ni wakina nani ikiwa mbunge alikula mgao wa ESCROW anaitwa shujaa na Dr.mafuli huko Baliadi?
 
umekalia ----- muwasho tu unakusumbua. Unaona Silaa(Dkt wa Ukweli) ni wa kukaa na fisadi meza Moja?

kweli mkuu ulikuwa sahihi kabisa yaani Dr slaa hawwezi kukaa meza moja na fisadi hebu pata coca moja baridi kwa Mangi bill juu yangu
 
Hii itakuwa kituko cha karne. Ni sawa na Jeshi la Marekani lilipokwenda Iraq kuwatoa Baathists na Saadam Hussein, halafu wakamkamata Saadam na kuamua kumpa nafasi ya ujenerali kwenye jeshi la Marekani huko Iraq. Huo ni wehu.

Kaka siku nyingine uweke akiba ya maneno.
 
Wahamie mara ngapi? Yametimia hii ilikuwa biashara ya Mbowe, hata JF imetumika imeshanunuliwa rasmi na Jambazi Sugu.
 
Back
Top Bottom