Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

naenda nakuta amejaa kwenye dish nikapiga kelele huyu si chatu naambiwa ni samaki analiwa
Chatu analiwa 😂
Screenshot_20230313-201315.png
 
View attachment 2549206
👆Bunju anakuwa kama chura fulani na ana miba kibao

View attachment 2549203
👆mkunga kama nyoka wapo wanatishia kinoma Kuna wengine ni jamii ya nyoka wa bahari ukileta Tamaa ukafiria mkunga ukamla ndo kwisha habari yako...Kuna wavuvi wanagonjwa na wale nyoka bahari wakifiria ni mkunga
Huyo ni complete nyoka na hicho cha juu yake sijuo ni specie gani
 
Mkoa wa Lindi wilaya ndogo ya Mafia
Wilaya ya Mafia ni Miongoni mwa Wilaya tisa (9) katika Mkoa wa Pwani iliyoanzishwa mwaka 1959. Wilaya zingine ni pamoja na Bagamoyo, Kibaha Mji,Kibaha, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti na Rufiji.

Wilaya za Mkoa wa Lindi ni Mtama, Lindi Mjini, Lindi Vijijini, Ruangwa, Liwale, Kilwa, na Nachingwea.
 
Unaogopa atakumeza 😂 Ila nyama yake tamu kula uachi
first time namuona na kumla nikamwambia mam yangu nilikua naye mbali alinishangaa yan umemla mkunga, hukuogopa?? yeye huogopa nyoka hata awe mdogo kias gan hawez kumuua bas mkunga huhisi n nyoka, nyama yake ni tamu sana hasa uinge na viungo, kitumuu swaum, tangawizi, kiji ndimu na pilipili manga kwa mbaali na kiji ugali pembeni kachumbari
 
Wacha wee utamu sana kumla mkunga,
 
Back
Top Bottom