Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,028
- 16,323
Hatuna uzalendo,na ukijitia uzalendo ofisini utachukiwa mpk basi.Miaka yote hiyo wangewapa hayo madarasa watumie kwa shule za msingi au kituo cha Afya sema Nchi hii watu wengi wana udumazi sio bure...