Mafia kwa Maajabu si haba

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
68303_382846701794626_301898756_n.jpg
 
ha ha unatakiwa kupigiwa kura kuingia kwenye maajabu 7 ya dunia.
 
We kwa ubishi wewe! we huoni huo ni muujiza?

hahahah....mambo vipi mkuu? kitambo sana...
ila miti inayojikunja hivyo mara nyingi ni matatizo ya ukuaji, ama ulipindwa au ulikutana na kizuizi....
huwa kuna effects tatu tu zinazoweza kupindisha mmea.
1.force of gravity
2.mwanga wa jua
3.kupindishwa na mwanadamu au kiumbe kingine...
 
huo mnazi utakua ulipindwa kipindi ukiwa mdogo...

Mkuu, hivi unajua mnazi unavyokua au umesema tu? Mnazi unaanza matawi kisha shina linakua taratibu sana tena tinakua nene sasa sijui unapindaje!
 
Mkuu, hivi unajua mnazi unavyokua au umesema tu? Mnazi unaanza matawi kisha shina linakua taratibu sana tena tinakua nene sasa sijui unapindaje!

Hivi ndivyo mnazi unavyoanza kushipua, sasa hebu nioneshe huo unene usioweza kupindwa!!!

bb.jpg


Coconut_Trinco_2_19102_435.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom