Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

59.Jk aliendeleza sana huduma za Lishe nchini Tanzania ikiwa kati ya nchi sita zilizochukua nafasi ya mbele kwa utekelezaji
60. Alikuwa na ushirikiano mzuri na majirani
61. Alianza process ya kubadili katiba ambayo ingemletea sifa nyingi lakini kaachia katikati
62.Alikuwa na maridhiano na wapinzani
63. Chakuzi za taifa zilikuwa na hadhi na haki kidogo ijapokuwa hakukuwa na Tume huru
64.Ukiukaji wa wazi wa sheria ulikuwa mdogo na haukuletea watu binafsi na familia kilio kama sasa
65. Alitabulika kimataifa kiasi kwamba alipngoza hata kamati fulani za kimataifa!
Haya yatosha kwa leo
 
Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya:

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma na vinginevyo vingi
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference Center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi Julai
29. Ajira kila mwaka hasa walimu bila Kijali umesomea sanaa au sayansi
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka hasa chama ya sasa kufanya mikutano.
34. Aliwagomea CCM wenzangu na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
35. Uhuru wa vyombo ya habari.
36. Maisha bora kwa wanajeshi wetu kupitia Maduka Yao maalum.
37. Mikopo bodi ya mikopo uwe unasoma sanaa au sayansi,na Makato yaliyozingatia sheria
38. Watumishi Wengi wa umma walijiendeleza kielimu,na wengi sana walijenga Nyumba bora.

Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Hawa wanaomtukana na kusema kuwa tulichelewa mno Vp?

Naomba nawe utukumbushe Mambo makubwa
 
Asante sana. Hata ukimpa jiwe miaka mingine 10 hatoweza kufanya hayo, sijui ni mradi gani wa jiwe ulio mkubwa umekamilika hadi sasa lakini hizo kelele zake utafikiri anafanya jambo ambalo viongozi waliopita hawakulifanya.
 
Orodha ni ndefu sana ya mambo aliyofanya JK,Maajabu ni, kuwa mambo mengine hayakusimama kwa kisingizio cha miradi mikubwa.Najiuliza kila siku ,yeye alifanyafanyaje? Tunakwama wapi? mimi nayakumbuka haya:

1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma na vinginevyo vingi
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference Center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi Julai
29. Ajira kila mwaka hasa walimu bila Kijali umesomea sanaa au sayansi
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka hasa chama ya sasa kufanya mikutano.
34. Aliwagomea CCM wenzangu na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
35. Uhuru wa vyombo ya habari.
36. Maisha bora kwa wanajeshi wetu kupitia Maduka Yao maalum.
37. Mikopo bodi ya mikopo uwe unasoma sanaa au sayansi,na Makato yaliyozingatia sheria
38. Watumishi Wengi wa umma walijiendeleza kielimu,na wengi sana walijenga Nyumba bora
39.Uwekezaji mkubwa kama Dangote.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Hawa wanaomtukana na kusema kuwa tulichelewa mno Vp?

Naomba nawe utukumbushe Mambo makubwa
 
Hayo karibu yote yalikuwa empowered pia na achievement za kiuchumi za awamu ya tatu. Mfano No. 3 ilikamilishwa kipindi JK bado ni Waziri.
 
Amina ni aibu sana kwa bwana yule kuwakejeli watangulizi na kudhani yeye ni nabii " very special "" ...mbona miaka yote hawakufanya..." ..." kweli niondoke nani atafanya haya..."
 
Asante sana. Hata ukimpa jiwe miaka mingine 10 hatoweza kufanya hayo, sijui ni mradi gani wa jiwe ulio mkubwa umekamilika hadi sasa lakini hizo kelele zake utafikiri anafanya jambo ambalo viongozi waliopita hawakulifanya.
Huyo jamaako chenga sana, anafanya yakwake anayo yajuwa tena kwa gharama ya kuondoa mazuri aliyo yakuta. Hafai kuongezewa muda huyo.
 
Kila kizazi na mziki wake. Huyu huyu mlimbeza Sana, mara Oo dhaifu sasa mmepata kiboko yenu jembe toka Chato. Mmekamatiwa chini mpaka mwalialia kwa bwana zenu kina Amsterdam. Magufuli Rais wetu mpendwa, bonyeza hapo hapo mpaka 2035.
 
Pale aliposema eti akiondoka nani atafanya alijidhihirishia umbumbu wake kichwani, aliondoka Mwalimu na nchi haikusimama yeye nani bhana.

Kijiaminisha vitu ambavyo havipo ni aina nyingine ya ujinga.
 
Huo umeme kwenda Zanzibar amevusha lini?
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS VICHWA VYA WATU VIMEJAA MBALIMBALI NA KATHALIKA

UTAWALA WA CHAMA KIMOJA ILIKUWA KUORDER TU

1. ATEMBEE UCHI

2. FUKUZA KAZI

3. CHANA NGUO

4. LAZIMA ANIPENDE MIMI SIYO YULE

5. HATAKIWI KUOA/KUOLEWA

6. AFIKIRISHWE UJAMAA PEKEYAKE

7. HAFIKIRI TENA

8. TUNATAKA MOYO

9.TUNATAKA INI

10. ERROR TERM

WATU WANATEKELEZA KWA SABABU NI RAHA KUWA KARIBU NA KIONGOZI
 
Nini hii??
 
Back
Top Bottom