Asante sn kwa taarifu muhimu
[h=3]Ulinzi Sasa Basi Ni Kilimo Kwanza![/h]Source: Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: Ulinzi Sasa Basi Ni Kilimo Kwanza!
Heading the thread inasema mafanikio ya serikali katika kilimo. Post iliyowekwa inaonyesha juhudu zinazofanywa katika kuleta mapoinduzi ya kilimo. Sasa
1. Unataka kutuambia kuwa kwenu ninyi, kufanya juhudi tayari ni mafanikio?
2. Kwa nini Mods wasiifute thread hii kwa sababu inapotosha?
Nitaendelea kuwapa mafanikio mbalimbali ya serikali yetu ya awamu ya nne kadri siku zinavyoenda! We ukibisha au kutaka kupinga for sake ya kupinga just pinga tuu sikukatazi ni haki yako ya kidemokrasia
Mafanikio ya KILIMO KWANZA yataonekana kwa maisha ya wakulima sio takwimu.
Mafanikio ya KILIMO KWANZA yataonekana kwenye idadi ya exportation sio ripoti.
Mafanikio ya KILIMO KWANZA yataonekana kupitia jinsi kilimo kitakavyowezesha ukuaji wa sekta nyingi kama viwanda n.k na sio maneno ya Waziri, Katibu wa Wizara wala msemaji wa Ikulu.
ACHENI POROJO.
hakuna mtu anayetaka kusifiwa, lakini pale inapotokea mtu mzima anakashifu hata yale mazuri yaliyofanyika na kwa namna moja ama nyengine amefaidika nayo then hatuna budi kuelezea mafanikio hayo