share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,063
- 10,479
Kurembua macho.I will be short,
Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
Kurembua macho.I will be short,
Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
Nyie ndio mnaopataga laana za kujitafutia
Niambie tu.. Toka atawale mvua ya maana imenyesha lini na wapi..?? Wakulima wanalia wafanyabiashara wanalia.. Hakuna mavuno..Nyie ndio mnaopataga laana za kujitafutia