Mafanikio hugeuka chuki

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,997
9,591
Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki.

Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo.

USIONE WALIOFANIKIWA WAKAWA WANAJITENGA SANA NA WATU UKAJUA WANARINGA KUMBE WANAOGOPA CHUKI ZETU.
441880447_327372797048232_5826680788404487598_n.jpg
 
Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki.

Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo.

USIONE WALIOFANIKIWA WAKAWA WANAJITENGA SANA NA WATU UKAJUA WANARINGA KUMBE WANAOGOPA CHUKI ZETU.
View attachment 2987393
Ndio maana walinda Ligacy na Machadema wanamshambulia Samia Kwa hoja za kutafutiza ,chuki na ukabila baada ya kuona walichotarajia ashindwe imekuwa kinyume chake.

Huwezi wasikia wakizungimzia maji,Elimu,Barabara nk ila uzanzibar na uzushi wa kuuza Mali za Tanganyika,yote hayo ni Kwa sababu ya Chuki binafsi 🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom