NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
$_@
Basi tatizo hili linaanzia huko vyuoni zinaanzishwa club za fani mbalimbali mfano programming club watu washirikiane kuandika code ili kutatua matatizo, kujifunza etc lakini kinachotokea huezi amini zinakufa sababu wengi ni porojo tu bila vitendo, hawapendi kujituma na hakuna utayari na uthubutu wanapenda sana starehe kumbuka kama unafanya programming inahitaji uvumilivu na kujituma kwelikweli.Anyway,,Buni limebaki jina tu mkuu,,sidhani kama unachokitaka utakipata,,Way back it was so called innovation hub,so far naona watu wanaenda kushusha movie tu sikuizi,as nilivokwambia kabla,sehemu nipale science,Kijitonyama.
Kama kuna advanced programmer washirikiane na noobs wenzetu wanafanikiwa kwanini sisi tu ndo tushindwe?
Ni kweli ndugu huko wenzetu wa Ulaya na Asia wana ushirikiano mkubwa sana na wanatafuta maarifa kwa kila hali na hii inapelekea wao kufanikiwa zaidi na zaidi.Most of the time "Advanced" programmers wana initiate vitu, ila "noobs" ndio wanabembelezwa hawataki. Since "advanced" programmer is already advanced and does not need a noob they just throw the "make club" altogether and get life.
zech alianzisha meetups kwa walio Arusha. I hope he was frustrated just like I was. We were both dealing with Tanzanians right?
Tofauti ya "noobs" wa Ulaya na Asia na wale wa Bongo ni kuwa wale wa Ulaya na Asia wana njaa ya kujua kwa gharama zote na wa hapa Bongo wameridhika na ujinga na hawana mpango. Ulaya wanatafuta namna ya kuja pamoja. Vivyo hivyo na Asia. Bongo kila mtu anataka aonekane kamzidi mwenzie.
Ni kweli ndugu huko wenzetu wa Ulaya na Asia wana ushirikiano mkubwa sana na wanatafuta maarifa kwa kila hali na hii inapelekea wao kufanikiwa zaidi na zaidi.
Humu jamvini mie nimeona noobs wapo wengi wanaotaka kujua na hata advanced programmers nafikiri wapo wenye nia ya dhati ya kutaka tuungane na kushirikiana ili kutatua matatizo yetu yanayotukabili mmojawapo ni wewe nimekuona unafanya juhudi hizi za kutuunganisha tuwe pamoja bila kukata tamaa hongera ndugu.
Nashukuru umeona juhudi zetu na pia kuwa tayari kuunga mkono. Ni jambo jema.
Kusema kuna wengi humu wanaotaka kujua ni kweli ila nadhani kuna ukweli mchungu naomba niuseme. Kwa hili Mods mtaniwia radhi. Tatizo mojawapo la developers wachanga wanadhani kila kitu lazima kifanyike JF na kwamba kufanya kitu nje ya JF ukiwa JF ni uhaini fulani!
Sijajua mawazo ya kipumbavu haya tumeyatoa wapi. Mimi kwa mfano ni member wa forum zaidi ya kumi na most of them ni active contributor (JF ikiwa mojawapo). Nipo StackOverflow na Stack Exchange sites nyingi sana lakini hii hainizuii kuwepo Quora. Hii ni kwa sababu Forum sio ndoa ya Kikristo.
Sasa sio kila kitu JF itafiti. kuna forum tuliianzisha developers kama kumi hivi na iko ready ku serve ktk speciation hiyo. iko well organized kwa ajili hiyo. Ila utaona bado Watu hawako tayari kuiunga mkono. Wengine wanadhani ni uhaini au kuua JF.
Ukidhani JF itakufa kwa sababu kuna kitu chenye lengo tofauti na JF kimeanza ujue una tatizo kubwa. BTW ile forum ilizaliwa kwa kuwa hakukuwa na kitu cha namna hiyo hapa na kuna wakati huko nyuma tuliomba iwekwe subforum haikuwekwa. so we thought itakuwa sio sehemu ya maono ya kuanzishwa kwa JF
check it out na utuunge mkono: Tanzania Technocrats Forums
Ni vyema kuwa umeona tatizo ambalo limesumbua hapa. Tumepoteza developers wengi sana. Hilo la kupost uzi litakuwa jema. Unaweza kusaidia ku post dedicated post in a way!i never knew about TTF aisee mpka nilipoona hii post yako,,infact bongo hakuna tech forums type ya SO(SE kiujumla),,this is the only thing that suites developers wa bongo kusolve coding problems in SO like way. Another fact ni kwamba,,(no offence) ili jukwaa letu post za "jinsi ya kuroot simu","nitumie simu gani","matundu ya whatsapp" zimezidia aisee,,nilikua nadhani mods wataanziasha specific subforms like,"programming","Help desk" etc etc, ila nothing like that imetokea licha ya watu kupiga kelele sana! I think its time for TTF kusolve tatizo la jukwaa hili,,Am expecting kuona serious people want reg kule,By the way,,maybe upostiwe uzi wasio jua wajue kuhusu TTF.
Sure !let me do it.Ni vyema kuwa umeona tatizo ambalo limesumbua hapa. Tumepoteza developers wengi sana. Hilo la kupost uzi litakuwa jema. Unaweza kusaidia ku post dedicated post in a way!
Nimewataarifu vijana juu ya Tanzania Technocrats Forum wanaopenda watajiunga nilichojifunza ni kuwa noobs wengi wanapenda tu kujua bila kujifunza.Nashukuru umeona juhudi zetu na pia kuwa tayari kuunga mkono. Ni jambo jema.
Kusema kuna wengi humu wanaotaka kujua ni kweli ila nadhani kuna ukweli mchungu naomba niuseme. Kwa hili Mods mtaniwia radhi. Tatizo mojawapo la developers wachanga wanadhani kila kitu lazima kifanyike JF na kwamba kufanya kitu nje ya JF ukiwa JF ni uhaini fulani!
Sijajua mawazo ya kipumbavu haya tumeyatoa wapi. Mimi kwa mfano ni member wa forum zaidi ya kumi na most of them ni active contributor (JF ikiwa mojawapo). Nipo StackOverflow na Stack Exchange sites nyingi sana lakini hii hainizuii kuwepo Quora. Hii ni kwa sababu Forum sio ndoa ya Kikristo.
Sasa sio kila kitu JF itafiti. kuna forum tuliianzisha developers kama kumi hivi na iko ready ku serve ktk speciation hiyo. iko well organized kwa ajili hiyo. Ila utaona bado Watu hawako tayari kuiunga mkono. Wengine wanadhani ni uhaini au kuua JF.
Ukidhani JF itakufa kwa sababu kuna kitu chenye lengo tofauti na JF kimeanza ujue una tatizo kubwa. BTW ile forum ilizaliwa kwa kuwa hakukuwa na kitu cha namna hiyo hapa na kuna wakati huko nyuma tuliomba iwekwe subforum haikuwekwa. so we thought itakuwa sio sehemu ya maono ya kuanzishwa kwa JF
check it out na utuunge mkono: Tanzania Technocrats Forums
Sina cha kuongeza, umesema vyema. Ni muda wa kuacha maneno na kufanya vitendo.Nimewataarifu vijana juu ya Tanzania Technocrats Forum wanaopenda watajiunga nilichojifunza ni kuwa noobs wengi wanapenda tu kujua bila kujifunza.
Yani mtu anataka ajue vitu vingi sana lakini hapohapo hayupo tayari kujifunza, hii ni ajabu sana.
Kwa Advanced programmer mie nafikiri kinachokwamisha ushirikiano ni ubinafsi na changamoto nyingine ni ndogondogo lakini kubwa ni ubinafsi.
Sasa ukiunganisha noobs wasiopenda kujifunza + ubinafsi wa maAdvanced = failure.
Nani akuletee? Mkuu hivi unaelewa kinachojadiliwa hapa?tuleteeni app ya kuongeza like fb na comments
Uko sahihi kabisa. Haitii sana moyo kuona idadi iliyopo ukilinganisha na mahitaji halisi!Nawapongeza sana kwa idea ya kuanzisha hiyo forum but inakatisha tamaa kuona members ni wachache
Inabidi kuitangaza hiyo forums kwenye social media mbalimbali (Twitter,Facebook,Instagram)
Members wengi wanaweza kupatikana vyuoni kama angepatikana mwakilishi toka kila chuo (UDSM,DIT,IFM,UDOM,MIST,MU,SUA,RUCO,IAA) naamini wapo wengi na hawana forum ambayo wanakutana kushare idea na kutatua changamoto mbalimbali
Hapa ni Tanzania vipi umepotea njia tukusaidie?hapa ni nchi gani sielewi kitu mwanzo mwisho
Nenda MMU kule ndio kwako!!hapa ni nchi gani sielewi kitu mwanzo mwisho
Mimi Kama mwanafunzi wa IT nmeiona kuwa hii kitu ni muhimuUko sahihi kabisa. Haitii sana moyo kuona idadi iliyopo ukilinganisha na mahitaji halisi!
Tunatamani kama tungeweza kufika huko kote, ila uwezo wa kufika huko hatuna na katika "circles" zetu tumetangaza tunavyoweza.
Ombi letu ni kuwa kila anayeona kuna potential ya kusaidia taifa kwa nyenzo hii atusaidie kufikisha kufikisha ujumbe wa uwepo wa kitu hiki. Tunawaomba wanafunzi wakichukue kama chao na kukitangaza maana kitawapa platform ya kuonyesha maarifa yao a kuchota kwa wengine.
Vyuo vingi vina uhaba wa waalimu wa Software Engineering. Kuna wazoefu wa kutosha ni member. Pia kwa wajasiliamali wa eneo hilo tupo kuwasaidia kupenya kwa kushare abc.
Tuaomba uwe sehemu ya watu wa kutusaidia katika kuwafikia wengine.
Ni ya Watanzania kwa Watanzania!
Ahsante kwa kuwa tayari kuendeleza mapambano. Tunahitaji msaada wa aina tatu:Mimi Kama mwanafunzi wa IT nmeiona kuwa hii kitu ni muhimu
Niko tayari kuunga mkono......♥