Mafanikio halisi yanapatikana katika watu, sio vitu.My country people Mshana Jr ERoni binti kiziwi ShesRise_1 Lamomy Binti wa zamani Tsh dosho12 min -me prida Me and me Joanah piteni huku
Uzi mzuri kijanaMy country people Mshana Jr ERoni binti kiziwi ShesRise_1 Lamomy Binti wa zamani Tsh dosho12 min -me prida Me and me Joanah piteni huku
Nitakujulisha baadaeTabia zipi unazo na zipi hauna?
Unge fafanua kidogo
I love this perspective my g...Nitakujulisha baadae
Ndani ya mada nadhani watu wazima hua wanajihisi wapweke sana labda kwa sababu hawawezi kujichanganya
Kama zamani
Walikua wanaweza kutoka weekend na marafiki labda before ya kustaafu alikua kila siku anaenda kazini njiani anakutana na watu wapya na mazingira toafuti
Kazini watu wapo hawezi kua bored
Mara safari za kikazi kibiashara nk...
Ila sasa anapokua mtu mzima pengine amestaafu tayari kama hana miradi mingine anaanza kushinda nyumbani
Unakuta nyumbani kwenyewe hakuna watu au hata kama wapo ni wale wale watoto au wajukuu
Pengine watoto wapo mbali sasa hapa atataka apigiwe simu kila siku
Akipigiwa anaona au anahisi bado ana pendwa na kuthaminika kama zamani
Asipopigiwa anaweza kuhisi amepuuzwa kwa kua ni mzee
Hiyo ya kuhudhuria nyumba za ibada mwingine huamini kua yupo mwishoni mwishoni so anatengeneza njia yake kwenda kwenye maisha mengine hii ni kwa wale wa imani ya dini
Kuhusu kushauri kwa busara ni kwa sababu tayari ana experience ya vingi japo wajinga pia huzeeka
Elevenn
Mi naamini vitu havijawahi kupoteza thamani ila mtu ndiyo yupo kwenye position ya kupoteza thamaniI love this perspective my g...
So kumbe sio kwa sababu vitu vya kidunia vimekosa maana, kumbe hana uwezo tena wa kuona thamani yake Kwa sababu amezeeka?
I get that, ila je what's your opinion about true success, je ni kwenye material au watu?
Mmh umenipa food for thought mwanike...Mi naamini vitu havijawahi kupoteza thamani ila mtu ndiyo yupo kwenye position ya kupoteza thamani
Mf: ukaumwa ukakatazwa kunywa pombe au uambiwe usitumie chumvi au sukari
Sasa hapo ni vitu vimepoteza thamani au wewe upo kwenye position mbaya kutumia hivyo vitu
Maana wengine wanavitumia kama kawaida na hakuna tatizo
Why lakini, why unaniita kijana mdogo! ulisema before kuwa nibadilike, sasa Nime badilika unaipa za uso, Daah kazi kweli kweliHapa nitashindwa kukupa jibu la moja kwa moja ewe kijana mdogo 😉
Yes, absolutely....umenipa challenge ya kutafakari kuhusu neno thamani naona liko so subjective, ila mm kwa upande wangu naona ukikosa watu, wewe ni mfwu tu...Kwa sababu kila mtu ana namna yake ya kupima hicho kinachoitwa mafanikio
Mwingine atasema mafanikio yangu ni watu lakini cha kujiuliza hao watu kama huna kitu watakua upande wako au ni watu wa mdomoni
Mwingine atasema mafanikio yangu ni kwenye kumiliki labda pesa nyingi na mali kama majengo ardhi na biashara
Akiamini kwamba akiwa na hivyo mambo yatajiendesha yenyewe wala haitaji kutumia nguvu so kila mtu ana namna yake ya kutafsiri hilo jambo la mafanikio
Au sio, Daah haya bwana mshangaziNadhani umetosheka mdogo wangu
Low key capitalist society imetu condiotion wengi wetu kuwa hivyo sana... Hivi ulisha wahi kupata mid life crisis? Wengi waioatayo hiyo hupata nafasi ya kujua huo umuhimu before old age..Nimetafakari katika circle ya wanadamu hasa wenye aina fulani ya personality kuna point ya mwisho kule karibu na mshale wa saa sita kamili, hiyo point inaitwa crisis& restoration.
Exactly, we need people. Especially those we call family... But sadly siku hizi it will be your own flesh and blood kicking your assNafikiri ndio hapo mhusika anapokuja kurealize kuwa tunapochase mafanikio ya kidunia huwa tunasahau kionjo cha muhimu ambacho ni watu.
Ni vitu ili vitu vilete maendeleo kwa watu.Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari?
Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana upendo...
Wengi wao huwa kama watoto tena... Yaani the ego looses control and the pure human nature comes to play.
Wananza kuthamini vitu ambavyo havishikiki tena, kama ni mzazi lazima akupigie simu daily kukujulia hali, na usipo kwenda kumwona atajisikia upweke.
Wengi wao huanza kuhudhuria dini na kuishi maisha yasiyo na vinyongo. Yaani hata kama alikuwa mtu mbinafsi sana anaweka pembeni.(sio wote lakini)..
Na ukikuta anatoa ushauri ni ule wa hekima na usio wa kumpa mtu kiburi, mwishoni kabisa watu hawa Ukiwauliza ni nini cha maana katika maisha. Hawawi na kumbukumbu ya vitu bali watu..
Hisia ndo hubaki, na hisia mara nyingi hazipatikani kwenye vitu. Kwanini binadamu ni kiumbe kisahaulifu...
Je ni kawaida na lengo la muumba? Au ni kwasababu ya umuhimu ajipao binadamu? Maana binadamu ni kiumbe kibishi sana.
True success comes after mastering how to fully make the world a better place, not self serving chase which only fades away...
Ndo maana nikiona mtu ana ivimbia bia, pesa au majumba na haja accomplish kitu non tangible kwa jamii, naona mlimbukeni tuu.
Karibuni kwa discussion.