Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,550
Reaction score
2,200
Maeneo hayo ni, shule ya msingi senge - mkoani singida, shule ya sekondari senge - mkoani singida, shule ya msingi mwisenge - mkoani mara, shule ya msingi kitobo - mkoani kagera, mchamba wima na kibanda maiti - zanzibar, Senge rema mkoani mwanza, katerero - mkoani kagera,

Majina ya Watu sasa! Uswazi utasikia Chausiku, Makusudi, Mawazo, Matatizo.................... Mbeya sasa Chamuchubwi, Tulinampoki, Tutufye, Mwapanya.......Wangoni sasa, Mapunda, Nyoka, Komba, kakobe, kimbuzi, king'ombe............Wachaga sasa Clinton, Bush Ebu nawe endelea
 
Kuna shule ya msingi kumalija ipo Maswa Shinyanga.
 
Hanyigwa mchana-unguja
Chupa ya soda-pemba
Mkanyageni
Mgeninani-kijichi
 
"Moshi"

Jina lingine la pombe maarufu ya kienyeji.
 
mbwachini, moja ya maeneo katika himaya ya mhe.mbowe karibu na kibohehe sekondari
 
mtaa wa legeza mwendo Tabora, Songea

Nakapanya, Nanguruwe majina ya vijiji vya tunduru
 
Jamani hakuna kama unguja...ZNZ, yaani hiyo list ni majina ya miji na mitaa

Mchamba wima
Kibanda maiti
Mwembe Mimba
Mfereji Maringo
Kikwajuni
Mbuyu Kidampwita
Kiembe Samaki
Mwanakwereke
Mto Mbu
Bububu
 
Jamani hakuna kama unguja...ZNZ, yaani hiyo list ni majina ya miji na mitaa

Mchamba wima
Kibanda maiti
Mwembe Mimba
Mfereji Maringo
Kikwajuni
Mbuyu Kidampwita
Kiembe Samaki
Mwanakwereke
Mto Mbu
Bububu

Mtaa wa dole
 
Maeneo hayo ni, shule ya msingi senge - mkoani singida, shule ya sekondari senge - mkoani singida, shule ya msingi mwisenge - mkoani mara, shule ya msingi kitobo - mkoani kagera, mchamba wima na kibanda maiti - zanzibar, Senge rema mkoani mwanza, katerero - mkoani kagera, nawe ongeza ya kwako ambazo ukizitaja mbele ya jamii lazima washutuke.
Mwitongo - Butiama,
 
Imala-seko (Maswa); Hombo*o; Mto wa Mbu (Arusha); Mtaa wa Narun'gombe (Mwanza); RahaLeo (Zanzibar); Mtaa wa Dhambi (Meatu).
 
Back
Top Bottom