Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

Kuna viji-centre vipo karibu karibu ukitokea NANGURUKURU kwenda Lindi cha kwanza chaitwa MKUNDI kinachofuata ni MAVUJI yaaani...
 
kumlogolo, litimbandyosi, litisha, lingusenguse, mliayoyo, mpitimbi, likuyufusi karibuni sana Songea ni baadhi ya vijiji huko nyumbi bombiii. Nakapanya, nanjilinji ntwara huko, twatwatwa kijiji cha wamasai kilosa huko
 
Kipumbwiko singida,misughaa, unyankhanya,unyamikumbi,tuntu,mwisi,itaghata kote ni cngida!!
 
"Popo bawa"......hii kituo cha tatu huvi toka kwa Mtogole(Tandale)
"Njia ya boro"....Kibosho Kirima- Moshi
"Makokongolosi"...Chunya
"Kintiku"
jumlisha na jina la Ndomba wa Songea
 
Ikiisha hii topic tuletee na ya majina ya watu ya ajabu, hapo ndo mwisho wa reri, hahahaaaa!

DOKEZO:
Kum*ni (Wasandawi), Senge (Wanyaturu), Kananga (Walugulu)....... ya jirani zetu ndiyo nomaaaaa! Kin*mbe, Niyonzima, Akat*mba, Chipu*bu, Chupi, ....
 
Back
Top Bottom