Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Pale changinyikeni nyuma ya shoppers
Umeona yule aliyekuwa boss NIDA naye kaenda kutoa hoteli pale
Sema mitaa ikikatwa itapendeza.....

Ova
yes mzee
 
Umenichekesha sana aisee! Ni kama Raia wa Kilimanjaro wote wawapo nje ya Kilimanjaro unapowauliza kwenu ni wap?
Wanajibu: Moshi.
Awe Mpare wa Chome, ndungu, Vudee n.k atasema Moshi.....huwa nacheka sana.
Nikagundua kuwa Mwanadamu anapenda vitu vizuri.
ww hupendi vitu vzuri?
 
Huko pazuri huku upande wa ushindi kwa ndani
Au kama Unapita clouds katikati unanyoosha
Kuna sqata moja kali sana
Pugu na ukonga kuna maeneo mazuri masaki obay yenyewe haitaki

Ova
Hiyo mitaa naijua kuna kibarabara fulani kinakuja kutokezea Cocacola
 
Hata wa kishumundu atakwambia anatokea moshi
Umenichekesha sana aisee! Ni kama Raia wa Kilimanjaro wote wawapo nje ya Kilimanjaro unapowauliza kwenu ni wap?
Wanajibu: Moshi.
Awe Mpare wa Chome, ndungu, Vudee n.k atasema Moshi.....huwa nacheka sana.
Nikagundua kuwa Mwanadamu anapenda vitu vizuri.
 
Hiyo mitaa naijua kuna kibarabara fulani kinakuja kutokezea Cocacola
Kwenye kona ya coka hpo kuna duka kwa mpemba Osama ukinyoosha unakwenda kwa rwakatare
Sasa wee unakunja kushoto hko ndani ndani kna squatter lbda kma sahv watu wamewahamisha

Ova
 
yes napajua huko.
Halafu kukaa mikocheni ni pagumu sana kwa watu wa maisha ya chini ni bora hata kuishi tandale.
Ubaya wa mikocheni hakuna huduma muhimu zile za mitaani kama migahawa na magenge.
Na usafiri pia ni shida kwa sababu pamejitenga
Kwenye kona ya coka hpo kuna duka kwa mpemba Osama ukinyoosha unakwenda kwa rwakatare
Sasa wee unakunja kushoto hko ndani ndani kna squatter lbda kma sahv watu wamewahamisha

Ova
 
Upi Kabla regency hotel unaingilia kwa mtoto wa baresa unaingia ndani
Au kule kwake regent mgomba ni

Ova
hapo hapo niliambiwa tu na mzee mmoja hivi anajua mambo mengi sana hapa mjini.siku nikitaka kwende nitakushtua unipe ramani
 
hapo hapo niliambiwa tu na mzee mmoja hivi anajua mambo mengi sana hapa mjini.siku nikitaka kwende nitakushtua unipe ramani
Ok.....poa huko tukiwaga mjini tunakwenda kuwapiga sound +ndimu tunawachekecha watupe hela[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom