mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,479
- 138,343
Magomeni napo mikumi pako poa sananimekupata dalali [emoji3][emoji3][emoji3]
Pametuliaaa
Ova
Magomeni napo mikumi pako poa sananimekupata dalali [emoji3][emoji3][emoji3]
Unawachuuza wenzako kaka 😂Hii ndio style ya maisha tuliyochagua. Tunanunua cha kula leo,kesho tutajua kesho.
Magomeni napo mikumi pako poa sana
Pametuliaaa
Ova
Kwa mikumi syo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la Magomeni nasikia ni kama Tanga.. nyumba mganga..nyumba...$#@@
Kwa mikumi syo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtaa wa idrisa mtaa mzima wmepanga wakina delicious
Ova
unapakubali pale?Magomeni napo mikumi pako poa sana
Pametuliaaa
Ova
wanajiuza au?? ndo huo mtaa kuna bar ya macheni?Kwa mikumi syo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtaa wa idrisa mtaa mzima wmepanga wakina delicious
Ova
mimi nakaa kwa bi nyau makanya paleMagomeni napo mikumi pako poa sana
Pametuliaaa
Ova
Umeona kwa idd Azam,kwa Mtama palemimi nakaa kwa bi nyau makanya pale
Au kwa yule rasta mnyakyusamimi nakaa kwa bi nyau makanya pale
Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Wakuja hawawezi kujua hio mitaa. Kuna upande wa pili wa barabara Baptist unakumbuka mitaa ile ilivyokuwa kama Obay?Magomeni napo mikumi pako poa sana
Pametuliaaa
Ova
Upande wa Butiama au huku kwingine?Kwa mikumi syo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtaa wa idrisa mtaa mzima wmepanga wakina delicious
Ova
Wewe tajiri wa magomeni hata hujui kwa macheni? Au tajiri wa magomeni ya Unguja?!wanajiuza au?? ndo huo mtaa kuna bar ya macheni?
Huko sahv tangu zipitishwe barabara lami kumekaa vzr magorofa yameshushwa wale waswahili wamehamishwa wamekwenda mbande mvuti huko[emoji23][emoji23][emoji23]Upande wa Butiama au huku kwingine?
Kuzuri sana pande hizo magomeniWakuja hawawezi kujua hio mitaa. Kuna upande wa pili wa barabara Baptist unakumbuka mitaa ile ilivyokuwa kama Obay?
Macheni ilikuwa balaa nuksi tupu hapowanajiuza au?? ndo huo mtaa kuna bar ya macheni?
Sasa mbona hamuishi kuwapinga vizinga ?Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Soma vizuri uelewe....nimesema binadamu, so kama mimi nyoka basi sipendiww hupendi vitu vzuri?