Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Mikocheni b yenyewe kuna sehemu moja katikati
Pako uswazi sana watu wanaishi hivyo
Hata hivyo bado mikocheni pamebanana sana

Ova
Mikocheni ya chini huku baharini iko vizuri
 
My deduction: binadamu tunategemeana, mwenye nacho anamtegemea asiye nacho ili apate labour. Hivyo tuishi kwa kuheshimiana. Nakumbuka Kuna uzi humu unaeleza asili ya majina ya maeneo, na hilo la Msasani(hali ya chini) lilitokana na wafanyakazi wa kimachinga waliokuwa wameajiriwa na mzungu Michael Chain(Mikocheni-hali bora) kushindwa kutamka jina la mnyampara wao Musa Hassan (Msasani)
Mikocheni jina limetokana na miti aina ya Mikoche, hapo Mikocheni kulikuwa na miti mingi ya Mikoche.

Hiyo habari ya Michael Chain ni chai tu.

https://swahili_english.enacademic.com/8848/mkoche

mkoche

mkoche: translation

[Swahili Word] mkoche

[Swahili Plural] mikoche

[English Word] dwarf palm species (Hyphaene coriacea)

[Part of Speech] noun

[Derived Word] koche
 
Hiyo miti bado ipo hadi sasa?
 
Back
Top Bottom