Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Mikocheni b yenyewe kuna sehemu moja katikati
Pako uswazi sana watu wanaishi hivyo
Hata hivyo bado mikocheni pamebanana sana

Ova
hyo mikochen pale nyuma ya shoppers plaza (nkaribu na regency) kuna mtaa huwa siuelewi elewi yaan umekaa kiswahili swahili sana
 
Mikocheni ya chini huku baharini iko vizuri
Kwanza viwanja vya upande kuelekea baharini ni vikubwa eka 4 ndomana watu wazito na waliokuwa wanajielewa waliwahi

Ova
 
Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bila shaka wewe utakuwa ni mtu wa kutoka kanda ya ziwa ndio huwa wanapenda huu utani
 
Umasikini ni kitu kibaya sana mkuu. Umasikini ndio chanzo cha uovu mwingi sana hapa duniani.
Kivule hapo kwa mpemba,ukingia kulia Pana eneo moja tamu sana watu wamejenga kma wameambiana
Njia zimeachwa aise Safi sana......
Walipokuja kwenye masuala ya kurasimisha ardhi
Hicho kipande kilipewa Jina kwa mzungu

Ova
 
Nyuma ya Tanesco pale kuna vitu vimeachiwa hatari na nusu. Pia kuna hizi nyumba za police officers nzuri sana
 
Hakuna anaependa umaskini, sawa na wabongo wakiwa nje ya nchi ukimuuliza Tanzania unaishi wapi kila MTU anasema DSM hakuna atakayesema Buhigwe au Simiyu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wana vituko humu
 
Hakuna anaependa umaskini, sawa na wabongo wakiwa nje ya nchi ukimuuliza Tanzania unaishi wapi kila MTU anasema DSM hakuna atakayesema Buhigwe au Simiyu
Umenichekesha sana aisee! Ni kama Raia wa Kilimanjaro wote wawapo nje ya Kilimanjaro unapowauliza kwenu ni wap?
Wanajibu: Moshi.
Awe Mpare wa Chome, ndungu, Vudee n.k atasema Moshi.....huwa nacheka sana.
Nikagundua kuwa Mwanadamu anapenda vitu vizuri.
 
Hahaa! Kwa mzungu
Kivule hapo kwa mpemba,ukingia kulia Pana eneo moja tamu sana watu wamejenga kma wameambiana
Njia zimeachwa aise Safi sana......
Walipokuja kwenye masuala ya kurasimisha ardhi
Hicho kipande kilipewa Jina kwa mzungu

Ova
 
Nyuma ya Tanesco pale kuna vitu vimeachiwa hatari na nusu. Pia kuna hizi nyumba za police officers nzuri sana
Hizo nyumba za police mbn hawazihami?
Alafu hiyo sehemu ilipojengwa nyumba za police
Kwa nyuma yke kuna squatter moja hatari
Labda kama wamepaboresha sahvi

Ova
 
Umenichekesha sana aisee! Ni kama Raia wa Kilimanjaro wote wawapo nje ya Kilimanjaro unapowauliza kwenu ni wap?
Wanajibu: Moshi.
Awe Mpare wa Chome, ndungu, Vudee n.k atasema Moshi.....huwa nacheka sana.
Nikagundua kuwa Mwanadamu anapenda vitu vizuri.
Ndio ukweli mkuu
 
Hizo nyumba za police mbn hawazihami?
Alafu hiyo sehemu ilipojengwa nyumba za police
Kwa nyuma yke kuna squatter moja hatari
Labda kama wamepaboresha sahvi

Ova
Squatter bado zipo nyuma hapo ngoja wawaibie maafande
 
Kariakoo wenyeji wengi wameuza nyumba zao au wamegeuza fremu
 
Back
Top Bottom