kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,422
- 3,393
Katika maisha yako usije ukaenda kuishi kunduchi au ukaishi nyumba karibu na wamakonde, kunduchi nazungumzia kwanzia pale mitaa ya mtongani na kuendelea kule mbele kama unaelekea ununio kabla hujafika jeshini,watu kule ni waswahili balaa hasa wamakonde,wanaeza kuwa na sheria ya kutoa watoto sijui,mziki ni siku 3 usiku namchana,hakuna kulala,harafu wakti huohuo, utakuta kuna jirani nae kafungulia mziki mkubwa ingawa nao umemezwa na mziki wa kwenye sherehe,ni maskini sana hawa watu,