Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Kama una mtu yoyote us unaweza wasiliana nae aje nguo kadhaa, hata kama haji wapo wabongo kibao lazima kila mwaka watinge bongo kutokea us, Akija unamcheulia pesa yake
Sina mtu Us , mkuu , Ila hakuna namna nyingine ya kupata hiiz nguo ?
 
Kisu chake kirefu aisee, nguo US ziko juu.

. Hapa Nina jeans 3 haxinitoshi mnashindwa was kuuzia.
Mkuu kimahesabu ni bora kununua hizo ghali , maana zinakaa, niliwahi nunua t shirt Miaka ya nyuma kwa wakati huo ilikuwa eflu sitini, nilikaa nayomkaribu Miaka minne na nikaja muuzia mtu Kama mtumba haikuwahi kupauka Wala kupoteza ubora , Siku hizi tunanunua shati 30000 halafu unafua mara moja linapauka na ubora kwisha, so bora tu ununue hata shati moja laki lakini ukawa na uhakika utalivaa Miaka kadhaa ?
Infact katika kuogopa gharama ndio tunagharimika zaidi
 
Back
Top Bottom