Wakuu mambo vipi?
Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye Ruvuma.
Sasa nataka nijue kwa wale waliotembelea maeneo hayo, hasa Iringa, ni sehemu gani nzuri, unaweza kupata 'vibe' ya kutosha, pamoja na kuondoa 'stress' za hapa na pale?
Nikipata pisi kali ya kuniongoza itakuwa vizuri pia.