real hustler
Senior Member
- Mar 12, 2021
- 147
- 235
Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu.
Wapi kwenye unafuu?
#Morogoro manicipal
Wapi kwenye unafuu?
#Morogoro manicipal
Mkundi, cct, Makunganya, kiegea,majichumvi, luhindo, kwa wagogo.Nenda Kibondo hakuna vumbi.