Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

Njoo kimara mwisho au njia ya kimara hutojuta! Faida za kukaa eneo hili ni;
* Ni rahis kupata usafir kwenda sehemu yoyote ndani na nje ya dar
*Maji huku tangu niishi sijawahi kujuta
*Kuna hewa safi
* umeme huku sijasikia ukikatika mara kwa mara
e.t.c
Uko sahihi
 
Moja kwa moja njoo kimara hapa au ishi maeneo ya apa kimara utujutia ...Ni dm Kuna nyumba Kali ukozi kwa 250k saf kbsa
 
Mimi naona akiishi maeneo kama hayo hawezi kuwa mjanja. Ni vema kama akikaa sehemu zenye changamoto za vibaka, maji, umeme na barabara zisizopitika msimu wa Mvua.

Tumetofautiana kila mtu na maamuzi yake binafsi mimi sipend maeneo yenye uswahili swahili napenda kukaa eneo ambalo kila mtu yuko busy na mambo yake.
 
Hahahahaaa... Mbezi makabe patam sana..yaani siku nikichill home nasahau kabisa kama nipo Dar...ni milio ya ndege tu na upepo mwanana. Nakaaga nazima TV au Radio niuskie tu ule utulivu aisee so wonderful
Vipi kuhusu nyoka...?
 
Tabata kuna joto sana sababu ya msongamano mkubwa wa makazi holela...sehemu nzuri kuishi kwa Dar ni Bunju Beach au Mbweni kumepangiliwa vizuri na upepo wa bahari unavuma saafi no stress...
Ukiona watu wanakimbilia sana sehemu flani ujue huko kuna maisha.. kama watu wanavyokimbilia marekani tu. .. njoo tabata, kuna kila bata..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom