Kigamboni bado kupo vizuri na kama hela ipo why not?Ktk hili tuko pamoja,napenda nature,napenda ukimya.wapi panafaa kujenga makazi ya Aina hiyo madam,tukajenge tuishi huko wawili?
Nipo night shift now.Nikitoka asubuhi nikumbushe nikaprint huu ushauri kisha nifanyie laminationKigamboni bado kupo vizuri na kama hela ipo why not?
Tafuta sehemu yako nzuri mwaga tofali anza mambo. Ukisubiri ujipange ama useme usubiri siku utakayokuwa tayari ndo ujenge it will never happen.
Kuna agents naona kwenye mitandao wanatoa site visits unatembelea maeneo unachagua kiwanja unalipa deposit kiasi fulani then kila mwezi unalipa kiasi fulani kwa mwaka mmoja I think.
Go for it, kupanga ni kuchagua.
Inategemea una kipato gani na unapendelea Nini.Hello guys!!
Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.
Mbezi, Kimara, Ubungo, Kinondon, Kigambon, Gomes, Chanika, Pugu, Kivule, Sinza,..n.k
Ni sehemu gani nzuri?
Nb: Distance does't matter!
Kumbe walinzi tuko wengi. Mwenzio Niko Fisi sekyuriti mwenzangu Satoh Hirosh uko kampuni gani?Nipo night shift now.Nikitoka asubuhi nikumbushe nikaprint huu ushauri kisha nifanyie lamination
Find your fellow trees.Napenda quiet spacious places with many trees and the sound of nature.
To me nature makes more sense than humans.
Mshirikishe mama/baba yako.Demu wangu anataka ninunue kiwanja Mapinga badala ya Kigamboni. Ei wakuu imekaaje hii?
Poa.Mshirikishe mama/baba yako.
sawa mume wangu?
And you can find your fellow idiots dummy.Find your fellow trees.
Uwahi kabla hujanikuta kwenye sredi ingine nikiandika bangi tupu.Nipo night shift now.Nikitoka asubuhi nikumbushe nikaprint huu ushauri kisha nifanyie lamination
350k si bei ya kawaidaMbezi beach siku hizi bei za kawaida.
Nakujua vizuri.. samtaimz zinakuja samtaimz zzinahama😅Uwahi kabla hujanikuta kwenye sredi ingine nikiandika bangi tupu.
Afu ubaki kuangalia username ni ile ile au umepigwa na kitu kizito. 🙊🙊🙊🤣🤣🤣
Sinza kila baada ya nyumba barKaribu Sinza
Zikija kila time hawachelewi kukupa tuzo na kukualika kwenye forums 🤭🤭🤣🤣Nakujua vizuri.. samtaimz zinakuja samtaimz zzinahama😅
Ila tunafanana Tu😅
Kwa mbezi beach. Nyumba kama hio aliosema jamaa zilikuwa 500,000/-. Hizo 350,000 ni bei za kinondoni,Sinza,tabata,Kigamboni etc350k si bei ya kawaida
Hao wanakwambia Kigamboni kwa kishamba blah blah blah. Waache akili zikiwakaa Sawa watanunua viwanja Kibiti,Msata au LugobaKigamboni bado kupo vizuri na kama hela ipo why not?
Tafuta sehemu yako nzuri mwaga tofali anza mambo. Ukisubiri ujipange ama useme usubiri siku utakayokuwa tayari ndo ujenge it will never happen.
Kuna agents naona kwenye mitandao wanatoa site visits unatembelea maeneo unachagua kiwanja unalipa deposit kiasi fulani then kila mwezi unalipa kiasi fulani kwa mwaka mmoja I think.
Go for it, kupanga ni kuchagua.
Sinza, Tabata je?Sinza kila baada ya nyumba bar