Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,143
- 34,180
Kigamboni bado kupo vizuri na kama hela ipo why not?Ktk hili tuko pamoja,napenda nature,napenda ukimya.wapi panafaa kujenga makazi ya Aina hiyo madam,tukajenge tuishi huko wawili?
Tafuta sehemu yako nzuri mwaga tofali anza mambo. Ukisubiri ujipange ama useme usubiri siku utakayokuwa tayari ndo ujenge it will never happen.
Kuna agents naona kwenye mitandao wanatoa site visits unatembelea maeneo unachagua kiwanja unalipa deposit kiasi fulani then kila mwezi unalipa kiasi fulani kwa mwaka mmoja I think.
Go for it, kupanga ni kuchagua.