Ukitaka kujua Mwafrika ni kazi! Panga nae kazi au awe na hela kiasi kwanza anajisikia na anataka kubembelezwa!Waafrika ni viumbe ambo evolution yao kuelekea ubinadmu haikuamilia , wako kati ya mnyama na binadamu.
Waafrika wana 60% unyama na only 40% ubinadmu.
Safi sana. Kitabu poa Cha bwana Jared.Rangi ya ngozi haina maana yeyote maana hata Afrika wapo watu wana rangi nyeupe pee tena ya kuzaliwa, haya ni mambo ya historia yaliyobeba ustaarabu na experience za maisha.
Someni kitabu cha "Guns,Germs and Steel" cha Jared Diamond.
Maajabu!Equation 1: Rangi ya ngozi = direct proportion na unafiki
Equation 2: unafiki = direct proportion na akili
Hence Equation 1 = Equation 2
Hili limeshanikumba!Mwafrika hawezi kuwa na maendeleo kwa sababu anakosa sifa ya uaminifu kuthibitisha ili mfungulie biashara ndugu yako ili muinuke wote kisha leta majibu.
Siri ya weupe wote kuwa na maendeleo wao wamewekeza sana kwenye uaminifu.
Wabongo upigaji
Watu weupe mkuu tayari wanaishi dimbwi la mfumo unaouwapa utajiri. So ndo mana ukiwa ulaya kwa kazi ile ile unayoifanya bongo mshahara wako ni next levelAkili
Nguvu
Juhudi
Maarifa
Haya mambo yote hayaleti maendeleo Ila yanaleta maendeleo ukielewa nguvu za kiroho .
Waafrica umasikini wao upo kiroho zaidi
Ta za ma wasomi walivyo na maisha magumu , tazama pia watu weupe wasomi uone .
Ubaguzi wa mfumo, na ni technical sana. Lazima tuangalie hawa waafrika wanawezaje kuacess legal services na equal opportunities. Mikakat wezeshi n mfumo wa legal unawezaje kutoa equity treatment kwa ethnic minorities. Mana hata wale walatin , wahispania na wahindi wakiwa USA wanapataga shidaKwamba hao weupe Wana fursa nyingi (channel ) za kufanikiwa kuliko weusi?..
Athari za ubaguzi wa rangi huko Marekani bado hazijaisha... ndio maana hata magereza yamejaa weusi
Make it brief and well revived. Tuambie na kasoro za hicho kitabu kimitazamo yakeRangi ya ngozi haina maana yeyote maana hata Afrika wapo watu wana rangi nyeupe pee tena ya kuzaliwa, haya ni mambo ya historia yaliyobeba ustaarabu na experience za maisha.
Someni kitabu cha "Guns,Germs and Steel" cha Jared Diamond.
Ni maneno magumu lakini ukiyafuatilia utaishia kuyakubali.Mwafrika ni mwizi kuanzia raisi hadi house girl
Muafrika kwenye structural hii hatoboi. Unless arudi kwemye siasa za kina nyerere na kwame zenye mihimili ya kuungana na kujitegemea.Mada imeniukumbusha rafiki yangu wa NIGERIA pansophist.
Pansophist anaililia Multipolarism. (Multipolarism vs hegemonism).
Anafikiri huenda Multipolarism itapunguza na labda kuondoa vizungiti vingi katika njia/barabara ya maendeleo(Kicking away the ladder).
Black is beautiful.
Inawezekana kabisa Africa kusonga na kupiga hatua kiuchumi na n. K
Sababu nyingi za kueleza yanayotukuta au excuse waweza kuita.
Moja, Mobutu seseko kabla ya kurudii mavumbini alidai alikuwa mhanga wa mwisho wa Vita baridi,
Nafanya paraphrasing ya Mobutu..
Africa/Black tumekuwa wahanga wa mwisho wa Brutal Colonialism(Kisaikilojia, kitamaduni, Mila na identity vimeparanganyika kwa Mtu mweusi).
Sababu zipo nyingi na nzito.
Black is beautiful.
Hao weusi wamefikaje magerezani? Wameonewa?Kwamba hao weupe Wana fursa nyingi (channel ) za kufanikiwa kuliko weusi?..
Athari za ubaguzi wa rangi huko Marekani bado hazijaisha... ndio maana hata magereza yamejaa weusi
Nenda sasa kwenye ofisi za umma ukihitaji huduma fulani! Utafikiri si haki yako kuhudumiwa ilhali mishahara yao imetokana na kodi yako. Ni kama vile umeenda kuomba msaada. Labda umkute mtu aliyeelimika. Lakini kama ni akina "unanijua mimi ni nani?", utaishia kusumbuliwa bila sababu ya msingi, vinginevyo, uwahonge.Ukitaka kujua Mwafrika ni kazi! Panga nae kazi au awe na hela kiasi kwanza anajisikia na anataka kubembelezwa!
Mimi nilifanya kazi na Boss Mkubwa na Capital Drilling Cental na East Africa lakini alikuwa anapokea simu zangu kwa wakati na anajali sana!
Mbongo akiwa na IST tu linakuwa tatizo Mswahili,Mjuaji na asiyeangalia mbele!
Kufanya kazi na Mwafrika tabu sana ndo maana Wachina wanakuja kwetu wanatajirika na sie tunabakia manamba na serkali yetu isiyojitambua!
Nchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, and Mauritius.
Ukiacha Gabon, karibia nchi zote zilizotajwa hapo juu zina unasaba na Uarabu au Uzungu!
Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, na Morocco ni nchi za Kiarabu.
South Africa inafahamika, ni kwa Makaburu.
Botswana nako kuna mchango wa Uzungu. Rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama, mkewe alikuwa Mzungu wa Uingereza. Huwezi kuyatenganisha mafanikio yake na mchango wa mke wake. Inasemekana, yeye kama Rais wa kwanza, aliiweka misingi imara ya uongozi.
Seychelles nako wana unasaba na Wazungu.
Tukirudi Tanzania, wanaoongoza kwenye orodha ya matajiri ni Watanzania wenye ngozi nyeupe.
Ukigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki.
Je, kuna uhusiano wa rangi na mafanikio?
Nchi zilizoendelea zaidi Afrika ni zile zenye Wazungu au Waarabu!
Orodha ya Watanzania matajiri zaidi inaongozwa na Watanzania wenye rangi nyeupe.
Je! Mafanikio yao yamechochewa na rangi ya ngozi zao?
Suala la mafanikio ni la rangi ya ngozi au uwezo wa akili?
Mimi niaminivyo, ni akili. Labda, watu wenye rangi nyeupe wana akili kuzidi wenye ngozi nyeusi, au rangi zao zianawafanya wapendelewe na hivyo kufanikiwa kirahisi?
Ulaya na marekani wameziacha dini na kufuata logic zaidi lakini angalia maendeleo yao yalipo hivyo point yako inakosa nguvu.Akili
Nguvu
Juhudi
Maarifa
Haya mambo yote hayaleti maendeleo Ila yanaleta maendeleo ukielewa nguvu za kiroho .
Waafrica umasikini wao upo kiroho zaidi
Ta za ma wasomi walivyo na maisha magumu , tazama pia watu weupe wasomi uone .
Hao wote wanapitwa na dangote mmoja tuUkigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki
Mkuu, nahisi kama sijakuelewa🥺Hao wote wanapitwa na dangote mmoja tu
Maendeleo ni pesa sio rangi
Dangote, mweusi, kapita hao waarabu wote uliowatajaMkuu, nahisi kama sijakuelewa🥺
Kuna mwanasayansi alishawahi kufanya ugtafiti kuwa uwezo wa mtu unatokana na "Melanin", tafiti yake ikawa ni kushambuliwa kuwa ni mbaguzi wa rangi, lakini mimi naamini hiyo tafiti ina ukweli mkubwa ndani yake.Nchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, and Mauritius.