Maendeleo ya vitu yaliyojengwa kwenye madeni

Maendeleo ya vitu yaliyojengwa kwenye madeni

Production kwa nchi isiyopitika ni nguvu za giza mkuu
Mkuu una maanisha nini isiyopitika? Je SGR itapita mikoa yote ya Tanzania? Je huko itakakopita kunazalishwa nini kinachohitaji SGR?
 
Nchi ya marekani inadaiwa wastani wa till I on 2500 za kitanzania hiyi ni mikopo ya ndani na nje .
Na still wanatusaidia sisi every year including kutupa ARV za matrioni ya shilingi bure na kuchangia mamilioni mengine kule WB,IMF na mashirika mengine tunakoenda kila siku kutembeza bakuri? Je wanakopa kwa ajiri yetu au kwa ajiri yao wenyewe Majibu unayo wewe
 
Ukiangalia hoja za wanaccm kuhusu mgombea wao,ukiangalia kile kinachoitwa maendeleo yaliyoletwa na Magu,ukiangalia quality ya Magu vs Lissu au Magu Vs Lowassa 2015 au Slaa vs JK 2010 na matokeo ya uchaguzi yalivyokuwa unapata majibu kabisa kwamba why Tanzania na watanzania ni masikini sana pamoja na kuzungukwa na resources za kila aina.

Yaani Kama mtu na akili zake timamu anashangilia daraja tu tena lililojengwa kwa pesa ya mkopo toka WB au reli inayojengwa kwa pesa ya mkopo wa riba kubwa badala ya kodi zinazolipwa na watanzania baada ya productivity yao kuongezeka unategemea nini hapo?

Ukiona mtu anashangilia reli inayojengwa kwa mkopo wakati yeye hana shughuli yoyote inayomuingizia kipato utashaangaa nini kuona nchi hii na watu wake wakiendelea kuwa masikini kwa muda mrefu?

Nadhani ni muda muafaka watanzania tupate definition sahihi ya maendeleo in our context other wise watu wa aina ya Magu wanaodhani maendeleo ni taa za barabarani na stendi za mabasi wataendelea kutuposha
Kwa hiyo unataka nini
 
Mnashindwa kuinvest kwenye sector ya madini mnakimbilia kukopa..huu Ni uwendawazimu watawala wengi wa kiafrika especially CCM akili mgando sana wakishhaingia madarakani akili zinajaa tope
Yaani hiyo ya kwenye madini si wewe unaweza kufanya na serikali ukapata kodi toka kwako ???
Maana hamueleweki serikali ikifanya biashara kero, isipofanya kero, conclusion mnachokitaka nyinyi ni sisi kuendelea kutawaliwa ili hali mgombea yeye sera yake ni kuneemeka
 
Mkuu nakuelewa sana,you know what,ninaposema elimu wewe unadhani ni vyeti same way anavyofikiri mwenyekiti wako.Ila Mimi simaanishi vyeti bali ujuzi na maarifa.Hivi vitu viwili ndo msingi wa kuongeza productivity.
Sasa in that perspective Mwl aliisha anzisha huko nyuma sema muendeleo wake due to maladministration
 
Hakuna nchi hata moja inayojenga uchumi wake bila kukopa ndio maana hata matajiri wote duniani wanakopa katika hilo mnajigeuza uchizi kipindi ambapo ndege zimenunuliwa kwa cash mlioji kwanini zinunuliwe kwa cash wakati biashara ya ndege duniani kote ukopwa,hivyo hoja ni ya kijinga.
Tutafika kweli?, tuombe Mungu.
 
Tatizo ni riba kubwa.

Pili ni aina ya investment, pesa tulizokopa zinarudi nje zaidi kuliko kubaki humuhumu ndani

Tatu ujenzi wa miundo mbinu hiyo haiendi sambamba na kuboresha sector ambazo zingefeed miundo mbinu hiyo ili kumaximize faida za miundo mbinu hiyo!
Wewe una suggest nini kingefanyika ambacho hakina adverse effect ??
 
Wewe una suggest nini kingefanyika ambacho hakina adverse effect ??

Hata nikisuggest hawana interest ya kufanya mambo yenye manufaa kwa Taifa kama hayawapi kiki za kisiasa za kutosha!.

Ngoja nikupe mfano jinsi watawala wetu wanavyoleta usanii kwenye mambo muhimu kwa mfano Ishu ya Kupigana dhidi ya Ufisadi, wanatutangazia kwa mbwembwe kuwa wanapambana na Ufisadi kisha wanatoka hapo wanswateua watu waliotutangazia kuwa ni mafisadi kuwa viongozi (mfano Andengenye) na Deo Mwanyika yule wa ACACIA( kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM)

Sasa hao watu hata ukiwashauri hawana lolote, ni wasanii tu! Wapenda kiki ili waendelee kubaki madarakani kula jasho na kodi za wananchi basi!
 
Sasa in that perspective Mwl aliisha anzisha huko nyuma sema muendeleo wake due to maladministration
2025 Tanzania development strategic plan ambayo ccm Ina implement kwa sasa si ya Nyerere mkuu,this Mwinyi/ mkapa product.Huyu utopolo anajifanya muumini wa JKN ili angalau akubarike but nothing ease
 
Hata nikisuggest hawana interest ya kufanya mambo yenye manufaa kwa Taifa kama hayawapi kiki za kisiasa za kutosha!.

Ngoja nikupe mfano jinsi watawala wetu wanavyoleta usanii kwenye mambo muhimu kwa mfano Ishu ya Kupigana dhidi ya Ufisadi, wanatutangazia kwa mbwembwe kuwa wanapambana na Ufisadi kisha wanatoka hapo wanswateua watu waliotutangazia kuwa ni mafisadi kuwa viongozi (mfano Andengenye) na Deo Mwanyika yule wa ACACIA( kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM)

Sasa hao watu hata ukiwashauri hawana lolote, ni wasanii tu! Wapenda kiki ili waendelee kubaki madarakani kula jasho na kodi za wananchi basi!
Na huu ndo ukweli ambao wadanganyika wengi tumeshindwa kung'amua
 
Hata nikisuggest hawana interest ya kufanya mambo yenye manufaa kwa Taifa kama hayawapi kiki za kisiasa za kutosha!.

Ngoja nikupe mfano jinsi watawala wetu wanavyoleta usanii kwenye mambo muhimu kwa mfano Ishu ya Kupigana dhidi ya Ufisadi, wanatutangazia kwa mbwembwe kuwa wanapambana na Ufisadi kisha wanatoka hapo wanswateua watu waliotutangazia kuwa ni mafisadi kuwa viongozi (mfano Andengenye) na Deo Mwanyika yule wa ACACIA( kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM)

Sasa hao watu hata ukiwashauri hawana lolote, ni wasanii tu! Wapenda kiki ili waendelee kubaki madarakani kula jasho na kodi za wananchi basi!
So what is the suitable alternative or the better option
 
makusanyo ya kodi za ndani ni za kununulia madiwani na wabunge

Maendeleo ya vitu ni kukopa

Ndio maana hawajiamini..iliyobaki ni utekaji tu na kupora formu

Haki itendeke

Ubatili; Uporaji na Utekaji

Hii ni nchi iliyostaarabika mbele ya mataifa mengine? Hii ya utekaji na uporaji wa fomu inafanyika Uganda, Kenya, Zambia

Na Polisi wanasaidia kupora form, kuteka na kubambikizia kesi
 
2025 Tanzania development strategic plan ambayo ccm Ina implement kwa sasa si ya Nyerere mkuu,this Mwinyi/ mkapa product.Huyu utopolo anajifanya muumini wa JKN ili angalau akubarike but nothing ease
What is the best option and why ??
 
Back
Top Bottom