Maendeleo hayana chama

Maendeleo hayana chama

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1550064699793.png
 
Kuna Chama Kinatumia Neno Mafiga Matatu
1 . Diwani
2 . Mbunge
3 . Rais
Hapo Nimeona Majiko Matatu
Mama Anatabasamu Nyuma Mbao Tele


Maendeleo Hayana Chama
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
 
Kuna Chama Kinatumia Neno Mafiga Matatu
1 . Diwani
2 . Mbunge
3 . Rais
Hapo Nimeona Majiko Matatu
Mama Anatabasamu Nyuma Mbao Tele


Maendeleo Hayana Chama
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
Huyu mama wala haelewi kuwa nchini mwake imegundulika gesi lakini wamepewa Wachina yeye aendelee kupambana na moshi wa kuni .
 
Huyu mama wala haelewi kuwa nchini mwake imegundulika gesi lakini wamepewa Wachina yeye aendelee kupambana na moshi wa kuni .
Haa😁😂
Tanzania Mambo Ya Gas Hawayajui
Air Tanzania Ipo Ila Tutapanda Punda
Maana Uwezo Hatuna
 
wabongo aliyetuloga alishakufa

maana yule Mzee wa Mabadiliko,a.k.a 'ulipo tupo' aliahidi kama 'una nyumba moja' akiwa raisi utakuwa Nazo tatu..

au kama una liteni mfukoni itakuwa Mara tatu...sie tukakimbilia ahadi za laptop na millioni 50 hewa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyapala anasema katikati patamu eti sio dodoma wala sio Dar es Salam ni Morogoro.🤣🤣 Utumwa wa binaadamu umeondoka lakini upo wa kuibiana rasilimali


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom