Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,165
- 831,859
China imefikiria upya usalama wa moto hasa katika majumba makubwa na kwa kupitia AI imepata muarobaini wa jambo hilo.
Katika jaribio lililodhibitiwa, watafiti waliwasha moto ndani ya jengo kubwa. Ndani ya sekunde chache, mfumo huo unaoendeshwa na AI ulihisi joto joto hilo la moto kwa mbali na mara moja ukatoa mlipuko wa maji uliolenga kuzima moto mara moja.
Teknolojia kama hii inaweza kubadilisha kabisa jinsi tunavyozuia majanga ya moto, bila kutegemea magari ya zima moto ambayo muda mwingine huchelewa kufika au Moto kuwa gorofa ya mbali kutoka Chini.