Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,761
kwa hiyo tutegemee vilaza vyuo vikuu
Huo ndio uhalisia mkuu.
kwa hiyo tutegemee vilaza vyuo vikuu
ina maana wizara ya elimu haikua na taarifa ya kua NECTA walitumia viwango vipya vya ufaulu? halafu kawambwa si ndie alietangaza hayo matokeo ina maana hayo matokeo si yalipata baraka zake! kwa maana hiyo basi kawambwa awajibike kwa uzembe wa kufanya kazi bila mawasiliano na NECTA.
Wewe unchokifanya ni utoto tu baada kwenda kwenye mantiki umekazania kuangalia matumizi ya lugha kazi kweli.Ndio maana tunapinga.Ona kiswahili cha huyu mkuu.Naye matokeo yake yalichakachuliwa, anatetea kweli kweli.Sijui kithungu angeandikaje.
Hivi hii wizara ya elimu naibu waziri si ndiye kafoji vyeti, yeye anaona poa tu........, sijui ila inauma....sumu,zemarcopolo..hawa viongozi wenu wa CCM wanatumia makalio kufikiri..........manake majibu mepesi kwa maswali magumu.....tutafika kweli?
kwa hiyo tutegemee vilaza vyuo vikuu
Huo ndio uhalisia mkuu.
Wewe unchokifanya ni utoto tu baada kwenda kwenye mantiki umekazania kuangalia matumizi ya lugha kazi kweli.
Una uhakika na hili?mkuu LUKUVI katoa tamko kama serikali, suala la kupitia upya mtokeo ni limekuja baada ya wataalam kukaa ni kufikia muafaka huo, unaweza kujifanya na kiingereza chako, lakini kumbe hujui hata kinachoendelea
It does not matter what language I use tanzania has two official languages if you dont know English go to hell with your Lukuvi
useless people where are we taking this country we need people who are upright to lead this country we are tired of these crooks, Let the go to hell, Politics and education can never walk together, Let the experts do there work Lukuvi is a stdr 7 so he cant know the negative impact this will have of the future generation
Kama nimeilelewa makala nzuri ya Dkt. Mkumbo alimaanisha kuwa kwa miaka hiyo ya 2010 na 2011 walijaribu (what....if...) wangetoa matokeo kwa mfumo wa upandishaji alama kama mwaka huu, je matokeo yangekuwaje. Ndipo wakaona kuwa tofauti yake ni kidogo sana ambayo ni 'negligible' ndipo mwaka huu wakaamu kuzitumia alama mpya. Hii anamaanisha kuwa kinachoenda kufanywa sio kutumia mfumo wa mwaka jana(kwani no significant changes will be realized) isipokuwa wanaenda kufanya kitu kingine kabisa ili "kuyapamba" matoke.Kitila Mkumbo nimependa sana makala yake, Sasa kumbe hata 2010 na 2011 pia walitumia viwango hivyo hivyo? Basi haina haja wachakachue tu na matokeo ya nyuma tujue moja ila sio kudanganya umma.
Asante mkuu, nchi ina bahati mbaya sana hii, kila mmoja alipo anajitahidi kufanya uharibifu anaoweza, bila shaka hili neno pia "limechakatwa" na BAKITA katika ule muendelezo wa uharibifu wa nchi siyo?Ngoja ninyumbulishe...
Mchakato....Mchakatulike, Mchakatuka....Kuchakata
Ndiyo maana wameamua kumpa hilo jukumu yeye aliye bingwa wa kuchakachua alisimamie. Useless government, useless people, useless leadership, useless country.
Maelezo yote ni upuuzi mtupu. Kama kulikuwa na sababu ya msingi ya kufanya hivyo, hilo lingefanyika kabla ya kutangaza matokeo. Kinachofanyika sasa ni kuthibitisha failure ya serikali na wizara.
useless people where are we taking this country we need people who are upright to lead this country we are tired of these crooks, Let the go to hell, Politics and education can never walk together, Let the experts do there work Lukuvi is a stdr 7 so he cant know the negative impact this will have of the future generation
Hata wewe utakuwa ni KILAZA vinginevyo utakuwa umefanya Mtihani kabla ya 1973,ndio maana nasema matokeo haya yalitolewa kisiasa na yatabadilishwa kisiasa.
Hivyo kwanini NECTA waliamua kubadilisha viwango vya ufaulu wakati mfumo wa Elimu ni ule ule?
By the way hivi viwangovya ufaulu pale NECTA si standard ni yule Padri na Porokia yake ya pale NECTA ndio wanaohamua kulingana na matakwa yao na matakwa ya kanisa.Hili Baraza na Wizara ni vya kuvunja vyote ni kuunda upya.JK vunja haya matakataka au ndio unaogopa ule wimbo wa UDINI zidi yako utaendelea kuwa mtamu zaidi maana kuivunja PAROKIA ya pale NECTA yataka moyo wa CHUMA.
Acheni kupiga kalele za kasiasa hapa nyie,nani kawaambia kusoma ni deal hapa Bongo?
Viigizo vyangu katika maisha ni hawa wafuatao.
1.Mbowe huyo anapeta na hana elimu hiyo munayoipigia kalele hapa
2.Sugu huyo anapeta form four failure
3.Mnyika huyo anapepa na maeshindwa kumalizia degree yake ya jioni
4.Lema huyo anapeta jambazi ala arusha mstaafu
5.Maji marefu huyo anapeat mganga wa kienyeji
6.Selemani Bungala huyo anpeta darasa la saba
Orodha ni Ndefu jamani naomba tu munisaidie wan jamvi.
Kama unabisha wewe komaa kupiga shule na ujifanye wewe ni kichwa hao vilaza wa hapo juu watakuja kukupeleka mbio mpaka ukome,chezea Tanzania wewe.
Bora hayo matokeo yarudiwe tu uenda yatawasaidia hao vijana kupata hata uwezo wa kununua unga na dagaa kwa kufanya certificate za ualimu.
Ukitaka ufanikiwe Bongo basi kuwa mjanjamjanja wa mjini mambo yako yatakuwa super lakini ukijifanya kichwa sana na mishule yako maisha yatakupiga mpaka mwisho,wananifurahisha sana akina Joti na yule Professa wao,duh ule ndio ualisia wa Bongo.
Huwa nawahurumia watu wenye uelewa mdogo kama ninyi na sijui huwa mnaishije na kuweza kumudu changamoto nyinginezo za maisha. Lkn kwakuwa hii ni nchi ya kisanii basi hata wasanii kama ninyi msioelewa chochote mpo tu. Tutaendelea kuwaelimisha, Inshalla, iko siku mtaelimika.
Kwenye blue NECTA walishinikizwa na Wizara kuwa na permanent grade ranges baada ya Tume iliyochunguza dosari zilizojitokeza katika somo la Islamic Knowledge. Wenzako wenye mawazo mgando kama yako kuwa NECTA ni parokia badala na kuwekeza kwenye elimu wakadhani kuwa NECTA kutumia flexible grade ranges wanaweza kupendelea baadhi ya shule na hapa seminary zilikuwa target. Matokeo yake umeyaona????
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21?
Kinachofanyika sasa ni kurudia utaratibu ambao watu wako waliutilia shaka kuwa unazipendelea Seminari na wizara ikaelekeza mabadiliko yafanyike haraka na yatumike CSEE 2012.
Sijui nani aliwaloga na bahati mbaya alishafariki. Jikomboe utafute ukweli, uhubiri ukweli uwe huru.