Maelezo ya Wizara ya Elimu kuhusu mchakato wa kurekebisha matokeo ya Kidato cha 4

ina maana wizara ya elimu haikua na taarifa ya kua NECTA walitumia viwango vipya vya ufaulu? halafu kawambwa si ndie alietangaza hayo matokeo ina maana hayo matokeo si yalipata baraka zake! kwa maana hiyo basi kawambwa awajibike kwa uzembe wa kufanya kazi bila mawasiliano na NECTA.

Mkuu hii serikali haina nyuma wala mbele. Kokote ikisukumwa inakwenda utadhani behewa za treni.
 
Ndio maana tunapinga.Ona kiswahili cha huyu mkuu.Naye matokeo yake yalichakachuliwa, anatetea kweli kweli.Sijui kithungu angeandikaje.
Wewe unchokifanya ni utoto tu baada kwenda kwenye mantiki umekazania kuangalia matumizi ya lugha kazi kweli.
 
Ndiyo maana wameamua kumpa hilo jukumu yeye aliye bingwa wa kuchakachua alisimamie. Useless government, useless people, useless leadership, useless country.

Maelezo yote ni upuuzi mtupu. Kama kulikuwa na sababu ya msingi ya kufanya hivyo, hilo lingefanyika kabla ya kutangaza matokeo. Kinachofanyika sasa ni kuthibitisha failure ya serikali na wizara.

Hivi hii wizara ya elimu naibu waziri si ndiye kafoji vyeti, yeye anaona poa tu........, sijui ila inauma....sumu,zemarcopolo..hawa viongozi wenu wa CCM wanatumia makalio kufikiri..........manake majibu mepesi kwa maswali magumu.....tutafika kweli?
 
I thought professors and doctors could be strong on people's interests! Anyway, what should be done for 2011, 2010, 2009, 2008 and 2007 poor results? Are they real serious with this country's destiny? Mh! I doubt.
 
kwa hiyo tutegemee vilaza vyuo vikuu

Hata wewe utakuwa ni KILAZA vinginevyo utakuwa umefanya Mtihani kabla ya 1973,ndio maana nasema matokeo haya yalitolewa kisiasa na yatabadilishwa kisiasa.

Hivyo kwanini NECTA waliamua kubadilisha viwango vya ufaulu wakati mfumo wa Elimu ni ule ule?

By the way hivi viwangovya ufaulu pale NECTA si standard ni yule Padri na Porokia yake ya pale NECTA ndio wanaohamua kulingana na matakwa yao na matakwa ya kanisa.Hili Baraza na Wizara ni vya kuvunja vyote ni kuunda upya.JK vunja haya matakataka au ndio unaogopa ule wimbo wa UDINI zidi yako utaendelea kuwa mtamu zaidi maana kuivunja PAROKIA ya pale NECTA yataka moyo wa CHUMA.
 
Wewe unchokifanya ni utoto tu baada kwenda kwenye mantiki umekazania kuangalia matumizi ya lugha kazi kweli.

Mtoto ni yupi kati yangu na wewe? Unatetea ujinga kwa lugha mbovu ya kiswahili, sasa ulisoma je hiyo skuli yako? Jitambue bana.
 
Mimi bado najiuliza wanafanya hivi ili kumfurahisha nani?

Hapa wanatutengenezea wale madaktari wanaopasua vichwa badala ya miguu
 
mkuu LUKUVI katoa tamko kama serikali, suala la kupitia upya mtokeo ni limekuja baada ya wataalam kukaa ni kufikia muafaka huo, unaweza kujifanya na kiingereza chako, lakini kumbe hujui hata kinachoendelea
Una uhakika na hili?
 
useless people where are we taking this country we need people who are upright to lead this country we are tired of these crooks, Let the go to hell, Politics and education can never walk together, Let the experts do there work Lukuvi is a stdr 7 so he cant know the negative impact this will have of the future generation

watch out kauli zako mkuu, desk la ICT la kova liko mbioni
 
Kitila Mkumbo nimependa sana makala yake, Sasa kumbe hata 2010 na 2011 pia walitumia viwango hivyo hivyo? Basi haina haja wachakachue tu na matokeo ya nyuma tujue moja ila sio kudanganya umma.
Kama nimeilelewa makala nzuri ya Dkt. Mkumbo alimaanisha kuwa kwa miaka hiyo ya 2010 na 2011 walijaribu (what....if...) wangetoa matokeo kwa mfumo wa upandishaji alama kama mwaka huu, je matokeo yangekuwaje. Ndipo wakaona kuwa tofauti yake ni kidogo sana ambayo ni 'negligible' ndipo mwaka huu wakaamu kuzitumia alama mpya. Hii anamaanisha kuwa kinachoenda kufanywa sio kutumia mfumo wa mwaka jana(kwani no significant changes will be realized) isipokuwa wanaenda kufanya kitu kingine kabisa ili "kuyapamba" matoke.
 
Ngoja ninyumbulishe...

Mchakato....Mchakatulike, Mchakatuka....Kuchakata
Asante mkuu, nchi ina bahati mbaya sana hii, kila mmoja alipo anajitahidi kufanya uharibifu anaoweza, bila shaka hili neno pia "limechakatwa" na BAKITA katika ule muendelezo wa uharibifu wa nchi siyo?
 
Ndiyo maana wameamua kumpa hilo jukumu yeye aliye bingwa wa kuchakachua alisimamie. Useless government, useless people, useless leadership, useless country.

Maelezo yote ni upuuzi mtupu. Kama kulikuwa na sababu ya msingi ya kufanya hivyo, hilo lingefanyika kabla ya kutangaza matokeo. Kinachofanyika sasa ni kuthibitisha failure ya serikali na wizara.

Heshima yako Bams. Umenena Mkuu hilo tamko linaidhalilisha sana Wizara ya Elimu na linathibitisha sababu za wanafunzi kufeli kwa wingi sana. Kama Wizara haiwezi hata kutoa ufafanuzi kwa kiasi hicho, kweli wataweza kusimamia elimu? Hilo tamko limerudia yale aliyokwishasema Lukuvi lakini wizara ilipaswa kutuambia sababu ya mabadiliko hayo ni nini? Kwanza wamejichanganya maana wanasema viwango vya ufaulu vilivyotumika vimekuwa vikitumika tangu mwaka 1973 Baraza la Mitihani lilipoanzishwa.

Lakini ukisoma ile ripoti ya Serikali kuhusu kushuka kwa kiwango cha ufaulu kidato cha nne 2010 imeonesha kuwa sababu mojawapo ya kushuka kwa ufaulu ilikuwa kupandishwa kwa viwango vya ufaulu ambapo Baraza lilitumia alama za juu kuliko zilizokuwa zikitumika miaka ya nyuma. Leo tena wanasema miaka yote alama zilizokuwa zinatumika tangu Baraza kuanzishwa zilikuwa hazijawahi kubadilika zimebadilika mwaka 2012. Yaani wanathibitisha kuwa wizara ya elimu imekaa kisanii tu. Hapo watakuwa wanafanya mchezo mchafu maana haipandi akilini maelezo ya tamko lao yalivyo ikizingatiwa kuwa Waziri mwenyewe ndiye aliyetangaza matokeo. Hapo makala ya Kamanda Mkumbo ni muhimu sana "Serikali ilijua lini kuwa matokeo ya K4 2012 yalikuwa na makosa?
 
useless people where are we taking this country we need people who are upright to lead this country we are tired of these crooks, Let the go to hell, Politics and education can never walk together, Let the experts do there work Lukuvi is a stdr 7 so he cant know the negative impact this will have of the future generation

A point of correction:.......He is a Standard Seven Failure.
 
Hata wewe utakuwa ni KILAZA vinginevyo utakuwa umefanya Mtihani kabla ya 1973,ndio maana nasema matokeo haya yalitolewa kisiasa na yatabadilishwa kisiasa.

Hivyo kwanini NECTA waliamua kubadilisha viwango vya ufaulu wakati mfumo wa Elimu ni ule ule?

By the way hivi viwangovya ufaulu pale NECTA si standard ni yule Padri na Porokia yake ya pale NECTA ndio wanaohamua kulingana na matakwa yao na matakwa ya kanisa.Hili Baraza na Wizara ni vya kuvunja vyote ni kuunda upya.JK vunja haya matakataka au ndio unaogopa ule wimbo wa UDINI zidi yako utaendelea kuwa mtamu zaidi maana kuivunja PAROKIA ya pale NECTA yataka moyo wa CHUMA.

Huwa nawahurumia watu wenye uelewa mdogo kama ninyi na sijui huwa mnaishije na kuweza kumudu changamoto nyinginezo za maisha. Lkn kwakuwa hii ni nchi ya kisanii basi hata wasanii kama ninyi msioelewa chochote mpo tu. Tutaendelea kuwaelimisha, Inshalla, iko siku mtaelimika.

Kwenye blue NECTA walishinikizwa na Wizara kuwa na permanent grade ranges baada ya Tume iliyochunguza dosari zilizojitokeza katika somo la Islamic Knowledge. Wenzako wenye mawazo mgando kama yako kuwa NECTA ni parokia badala na kuwekeza kwenye elimu wakadhani kuwa NECTA kutumia flexible grade ranges wanaweza kupendelea baadhi ya shule na hapa seminary zilikuwa target. Matokeo yake umeyaona????

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21?

Kinachofanyika sasa ni kurudia utaratibu ambao watu wako waliutilia shaka kuwa unazipendelea Seminari na wizara ikaelekeza mabadiliko yafanyike haraka na yatumike CSEE 2012.

Sijui nani aliwaloga na bahati mbaya alishafariki. Jikomboe utafute ukweli, uhubiri ukweli uwe huru.

Acheni kupiga kalele za kasiasa hapa nyie,nani kawaambia kusoma ni deal hapa Bongo?

Viigizo vyangu katika maisha ni hawa wafuatao.

1.Mbowe huyo anapeta na hana elimu hiyo munayoipigia kalele hapa
2.Sugu huyo anapeta form four failure
3.Mnyika huyo anapepa na maeshindwa kumalizia degree yake ya jioni
4.Lema huyo anapeta jambazi ala arusha mstaafu
5.Maji marefu huyo anapeat mganga wa kienyeji
6.Selemani Bungala huyo anpeta darasa la saba

Orodha ni Ndefu jamani naomba tu munisaidie wan jamvi.

Kama unabisha wewe komaa kupiga shule na ujifanye wewe ni kichwa hao vilaza wa hapo juu watakuja kukupeleka mbio mpaka ukome,chezea Tanzania wewe.

Bora hayo matokeo yarudiwe tu uenda yatawasaidia hao vijana kupata hata uwezo wa kununua unga na dagaa kwa kufanya certificate za ualimu.

Ukitaka ufanikiwe Bongo basi kuwa mjanjamjanja wa mjini mambo yako yatakuwa super lakini ukijifanya kichwa sana na mishule yako maisha yatakupiga mpaka mwisho,wananifurahisha sana akina Joti na yule Professa wao,duh ule ndio ualisia wa Bongo.

Hivi kwako wewe mwenzetu elimu maana yake nini?
 
Huwa nawahurumia watu wenye uelewa mdogo kama ninyi na sijui huwa mnaishije na kuweza kumudu changamoto nyinginezo za maisha. Lkn kwakuwa hii ni nchi ya kisanii basi hata wasanii kama ninyi msioelewa chochote mpo tu. Tutaendelea kuwaelimisha, Inshalla, iko siku mtaelimika.

Kwenye blue NECTA walishinikizwa na Wizara kuwa na permanent grade ranges baada ya Tume iliyochunguza dosari zilizojitokeza katika somo la Islamic Knowledge. Wenzako wenye mawazo mgando kama yako kuwa NECTA ni parokia badala na kuwekeza kwenye elimu wakadhani kuwa NECTA kutumia flexible grade ranges wanaweza kupendelea baadhi ya shule na hapa seminary zilikuwa target. Matokeo yake umeyaona????

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21?

Kinachofanyika sasa ni kurudia utaratibu ambao watu wako waliutilia shaka kuwa unazipendelea Seminari na wizara ikaelekeza mabadiliko yafanyike haraka na yatumike CSEE 2012.

Sijui nani aliwaloga na bahati mbaya alishafariki. Jikomboe utafute ukweli, uhubiri ukweli uwe huru.

Mkirua, matokeo hayo utaambiwa yalisababishwa na maagizo toka kwa Kanisa Katoliki.
 
Hiyo temeke youth muslim secondary headmaster wake ni ponda au ?hahaaa wanafaulu sana hao watoto
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom