Maelezo muhimu kuhusu majini!

asante kwa kuchangia na karibu tena japo this thread is for education purpose and not discussion
 
kwa nini mapepo mengi yapo kwa wakristo? ulishaona waislam wanatoana mapepo miskitini? nyumba ya Mwenyezi mungu hakuna ibilis kukanyaga




Kwani Shekhe Sharifu Majini yeye hatoagi Majini.....😳😳😳
 
Kwa wewe ni kama sie hatuamin mtume wenu.. majina na imani za watu..
Jima la Yesu ni la kawaida why hakuna mtoto aliyexaliwa na kuitwa hilp jina si ni jina la kawaida hujiulixi why la Muhammad wengi wapo wana hayo majina.na sio Yesu??
Brazil kuna watu wanaitwa Jesus kibao,.
 
Walokole sijui nani kawaroga
 
Endeleen hivyo hivyo kukumbatia hayo majini yenu na kuyaamini ila mm kwangu hayana nafasi maana ypo mungu aliyeniumba ndo ninaye mtegemea kwenden hko na imani zenu za kipuuzi,badala ya kusali na kumuomba mungu unaenda kulikumbatia na kulisifia lijini mxuuuuu!!!!
 

Ww amini unachokiami,mwache na mwenzio amini Cha kwake cz unaposema atoke alipo je unauhakika gani kama wewe hapo ulipo ni mahala sahihi usifanye mchezo na imani ya mtu wewe.
 

Ulishawahi kwenda ukakuta njia yako ni sahihi ama unaongea tuu ili kujibu!!fikiri kwanza kabla hujatoa jibu
 
Ulishawahi kwenda ukakuta njia yako ni sahihi ama unaongea tuu ili kujibu!!fikiri kwanza kabla hujatoa jibu
Hakuna aliye wahi kwenda mbinguni lakini imani yangu ndio inayonufanya ni amini kuwa kuna pepo na moto huko mbinguni mm ni muislam na waislam wanasifa ya kuamini mambo ya ghaibu ( yasiyo onekana kwa macho ) ndio maana nikasema hivyo mkuu
 
Ww amini unachokiami,mwache na mwenzio amini Cha kwake cz unaposema atoke alipo je unauhakika gani kama wewe hapo ulipo ni mahala sahihi usifanye mchezo na imani ya mtu wewe.
Mkuu acha jazba kama unahoja za kielimu zenye mashiko zitoe au weka challenges zako acha ushabiki na jazba
 

Mkuu nikikutana na mtu aliepandisha maruhani nifanyeje ili nimsidie kuyatuliza ikibidi kuyatoa.
 
Mi naimba tu hapa wala sihitaji kuwa na hofu ...
TUMEPEWA MAMLAKA
KUKANYAGA NGE NA NYOKA
MINYORORO YAKE SHETANI
IMESHINDWA!
 
Mkuu nikikutana na mtu aliepandisha maruhani nifanyeje ili nimsidie kuyatuliza ikibidi kuyatoa.

unaweza ukamwambia kwa kauli ya kwamba "rudi katika makazi yako ewe adui wa mwenyezi mungu, kwa kuingia tu kuchwani kwa huyu teyari umelaanika hujachelewa tubu na uende zako" akiwa mbishi msomee muadhatein na ayatul Kursy mara tatu tatu kama unajua na ikiwa atagoma basi huyo katafuta shari chukua majani ya zaitun mtafunishe huyo aliyepandisha utakuwa umemponya moja kwa moja ukikosa majani pata mafuta..

Rakims
 
Watu huongea mengi wasioyajua lakini wanapofikia kufahamu huwa wanajutia muda waliopoteza,



Wewe elimu ya aina hiyo ya "viumbe wanaoitwa majini" umeipata wapi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…