Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Nikikumbuka mashuhuda wa mwili wamarehemu huwa nalia hadi leo mtoto alilala nafikiri walimpa dawa ya usingizi asubuhi akaamsha mama anamwambia anasikia njaa ampe chakula aende shule kwani gari inapita na yeye bado hajala mama haamki ikabidi aende kwa jirani. Inaumaaa uuuwiiiiii hapana jamani.
So sad, money is the root of all evils
 
Kuna proffessional killers duniani.

Kuna bosi wa usalama wa taifa ya uingereza anaitwa Gareth Williams. Alikuwa kichwa sana na mpelelezi hatari sana.

Mwaka 2010 kuna Wahuni walienda kumuua nyumbani kwake na mpaka leo haijulikani ni nani na wala aliuliwa kwa kutumia nini? Kifo kilikuaje haieleweki

Maiti yake ilikutwa bafuni kwake ikiwa uchi imewekwa ndani ya begi na begi kufungwa kufuli kwa nje... bila Dna yeyote kuachwa sehemu yeyote.

Ghorofa alilokuwa anaishi lina cctv camera zilizimwa kwa muda then zikawashwa bila kujulikana ni mbinu gani ilitumia kuzizima hizo cctv .

Polisi wa uingereza pamoja na usalama wa taifa wao MI6 walijitahidi kuchunguza wakashindwa wali declare kwamba hii ni perfect murder . Toka 2010 mpaka leo ni unsolved case.
Hawa waliofanya hayo Mauwaji ya huyo boss ni kikosi Cha Siri sana ambacho kimo ndani ya Serekali yenyewe, ndiyo maana hawawezi kutoa ukweli wote kwa public, maana kuna mauwaji mengine yanafanyika kwa ajili ya public interests!!
 
wanawake wa kaskazini,ukiwa na mbumba be very careful,anytime you gonna lost!!, Kuna jamaa angu R.I.P tulioa familia moja ,ndo hivyo tena!! Kilimanjaro wanawake wa kule,sijui ka laana gani kamewakalia aise!!! Msinione mbaguzi lkn ukweli mtupu!!
Huyo mwabamke hana asili ya Kilimanjaro
 
Hawa waliofanya hayo Mauwaji ya huyo boss ni kikosi Cha Siri sana ambacho kimo ndani ya Serekali yenyewe, ndiyo maana hawawezi kutoa ukweli wote kwa public, maana kuna mauwaji mengine yanafanyika kwa ajili ya public interests!!

Kwa hiyo perfect crimes hamnaga mbona zipo nyingi tu.

Ukiwa una tabia ya kusoma soma zipo nyingi sana perfect crime.

Fuatilia bangladesh bank heist. Ama japan bank heist zilifanyikaje na mpaka leo aliekamatwa ni nani ?
 
Inawezekana kabisa na mpaka jamaa kweny wosia kuweka picha asilimia fulani wapewe wazazi na ndugu zake palikuwa na tatizo ye na na mkewe inaonekan

Hakukuwa na tatizo, yule marehemu isingekuwa wazazi wake pengine asingelikuwa ni bilionea...

Wazazi wake walikuwa na mashimo Mbuguni
 
Hakukuwa na tatizo, yule marehemu isingekuwa wazazi wake pengine asingelikuwa ni bilionea...

Wazazi wake walikuwa na mashimo Mbuguni
Marehemu alipata utajiri kwa mawe ya lemakoo na tanzaniteone,baba anamigodi miwili nae kachangia kumuinua...mana yeye ndio alikua anahudumia migodi ya baba yake
 
Kweli?

Mbona tunaonaga taarifa za habari mwili umeokotwa labda mtoni, kwenye pagale. Na hakuna kinachofata after that.
Imategemea na mtu mwenyewe kama kabwela askari hawawezi hangaika. Ila kama ni mtu kutoka familia ya kishua ni lazima askari watatia nguvu kutafuta mtu mbaya ni nani?!
 
Huyu mwanamke percee alihusika kum r.i.p .mumewe na hao wengine,akafauru,Ila hii game ya mwisho aka impose plan mbovu,akadakwa!! anajaribu umafia uzeeni!!! sehemu ya maisha yake yaliyobaki ataimalizia mjenoni !!
 
Una uhakika gani? Hujawah kuona watu wameuwawa na waliofanya mauaji hawajakamatwa?.....muuaji professional haachi footprint hata siku moja!
Huyu hakuwa tu muuwaji ila alikuwa ni psychopath. Maana katika hali ya kawaida yeye motive ya kumuua huyo dada ilikuwa ni nini?!

Si wangeweza hata mteka wakamfiche sehemu kwa muda huku akipewa chakula na sehemu ya kulala. Akikaa few days or hata yearz atatulia huku yeye ameshafanya mambo yake kama ni mali anakuwa ameshasort zimekuwa chini yake bila kumtoa mtu damu.

Then ukija muachia anakuwa ana adabu hata akienda kushitaki polisi anaanzia wapi kukusema wewe ulimteka na ulikuwa Arusha.

Me nadhani ni roho mbaya tu.
 
Wapanga mauaji wa tanzania wanatumia simu kupanga mipango yao yaani ni vile hawana hata akili, kupanga uhalifu wanashindwa hata kumiliki mali wasingeweza hao ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom