Maelezo haya ya huyu beberu yanatudhalilisha Sana waafrika

Kuna mengi anaongea ya ukweli, tatizo anatumia lugha kali sana na sisi waafrika hatujazoea kuambiwa ukweli, tumejaa unafiki
Kumdharau mtu, hakusaidii. Na kusema tu tatizo pasipo solution, pia hakusaidii. Mbona hajasema hata WHO wamekubali sana Africa's response to covid ukilinganisha na nchi zilizoendelea? Je ni kweli waafrika sio important duniani wakati ndio tulijenga Europe na America enzi za utumwa?
Tatizo waafrika ni maskini kwa asilimia kubwa. Umaskini wa kiuchumi unaleta umaskini wa aina nyingine kama wa kielimu nk. Na ni vizuri kumwambia mtu tatizo lake, lakini pia offer solution. Unafiki (hypocrisy) upo dunia nzima. Watu duniani kote kuna wanafiki kila kona. Mfano USA kuna racism sana, ila mtu hakuambii. Anakuchekea tu ila moyoni anataka kukukanyaga shingoni akuue.
 
Back
Top Bottom