Maelezo haya ya huyu beberu yanatudhalilisha Sana waafrika

Huyo mama ni Muongo sana,

Chuo kikuu cha kwanza hapa duniani kilikuwa Afrika,

Yesu alikuja kutafuta hifadhi Afrika,

Vyuma vilianza kufuliwa Afrika.

Afrika tulikuwa mbali Sana kwenye teknolojia kabla ya ujio wao watuambie nini kiliwafanya wakate mikono Babu zetu,

Ni woga wao tu.
 
Nini kilitokea hpo katikati mpaka leo hatuwezi hta kutengeneza chupi tunazovaa.
 
Licha ya yote bado hadi leo tunakunya porini na vichakani ambapo reli ya kisasa ya umeme ya aina yake inapita
 
BEBERU yaan Mbuzi dume! sasa wazungu ni mbuzi dume na waafrica ni MBUZI JIKE (naona imekaa sawa hii).

SASA SOMA ZAIDI HAYA MAANDISHI YAKE KISHA TAFAKARI

MAANDISHI HAYA ANGEYASEMA LISSU, BILA SHAKA TUNGEISHIA KUSEMA. KATUMWA SIO?
 

Attachments

  • IMG-20210107-WA0007.jpg
    43.6 KB · Views: 2
  • IMG-20210107-WA0008.jpg
    60.3 KB · Views: 2
  • IMG-20210107-WA0009.jpg
    53.5 KB · Views: 2
  • IMG-20210107-WA0010.jpg
    64.6 KB · Views: 2
  • IMG-20210107-WA0011.jpg
    31 KB · Views: 2
  • IMG-20210107-WA0012.jpg
    81.4 KB · Views: 2
  • IMG-20210107-WA0015.jpg
    55.4 KB · Views: 2
  • IMG-20210107-WA0016.jpg
    37.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…