Hajasema hamna chochote that's kakwambia afrika mna "viwanda" vya kuzalisha watoto, 😂😂!!Inamaana Afrika hatutengenezi chochote? Mbona kuna viwanda kibao to Afrika.
Wengine watapinga!Yuko sawa kabisa
Kaandika ukweli ulioonyooka kiasi kwamba imeonekana kama anatufokea
Nini kilitokea hpo katikati mpaka leo hatuwezi hta kutengeneza chupi tunazovaa.Huyo mama ni Muongo sana,
Chuo kikuu cha kwanza hapa duniani kilikuwa Afrika,
Yesu alikuja kutafuta hifadhi Afrika,
Vyuma vilianza kufuliwa Afrika.
Afrika tulikuwa mbali Sana kwenye teknolojia kabla ya ujio wao watuambie nini kiliwafanya wakate mikono Babu zetu,
Ni woga wao tu.
Licha ya yote bado hadi leo tunakunya porini na vichakani ambapo reli ya kisasa ya umeme ya aina yake inapitaHuyo mama ni Muongo sana,