OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
USD 12,000,000 au Tshs. 12,000,000...?
Kama ni USD ni matibabu gani hayo...?
Au alienda kuinunua hospitali yote kwa maana ya majengo, dawa, vifaa tiba na wafanyakazi au?
HAPANA, HII SIYO KWELI, HUU NI WIZI TU....
Hapo Spika Ndugai aliiba fedha za umma kwa JINA LA MATIBABU...!
Sasa watu ndiyo mueleww sasa ni kwanini ile sheria ya kinga ya viongozi akiwemo yeye na naibu wake ilipitishwa na Bunge chini ya uongozi wake...
Sababu iko very clear sasa kuwa, ni ili kukwepa mkono wa sheria kwa wizi kama huu...!!
Hivi unajua kuwa umejiunga Jamii forum wakati Magufuli ameshafariki dunia? Kuwa na heshima maana tulikuwa tunapambana naye akiwa hai!Kismati cha kuitoa Chadema kutoka wabunge 100+ walioachwa na Dr Slaa hadi kubaki mbunge mmoja Joyce Mkuya??..
Hovyo kabisa kwa walamba viatu vya Mboe
Sisi hatukuwahi kumwogopa huyo mumeo marehemu wewe mjane!Kismati cha kuitoa Chadema kutoka wabunge 100+ walioachwa na Dr Slaa hadi kubaki mbunge mmoja Joyce Mkuya??..
Hovyo kabisa kwa walamba viatu vya Mboe
Multiple IDHivi unajua kuwa umejiunga Jamii forum wakati Magufuli ameshafariki dunia? Kuwa na heshima maana tulikuwa tunapambana naye akiwa hai!
Wee ni mjinga tu kama magufuli wakoMbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.
Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.
Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
Tunamkumbuka Hance Kitine wakati serikali ya awamu ya tatu ya Ben Mkapa...?