Madudu

BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,324
7,909
Habari wadau

Ivi hamna mambo mengine ya kudiscuss zaid ya vibamia,remote, mabwawa na mashelli,..Tanzania tunaenda wapi,..
 
Habari wadau

Ivi hamna mambo mengine ya kudiscuss zaid ya vibamia,remote, mabwawa na mashelli,..Tanzania tunaenda wapi,..
Wanasema no research no right to speak acha wadau waongee mambo ambayo wanaexpwrience nayo
 
We si ndio jana ulikuwa unashadadia wanawake kuwa na mabwawa au nimekufananisha.
Hapana mkuu Mimi siye,.. Naheshimu sana wanawake mkuu, siwez wasema ivo,..

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom