Sogea tuishi sasa ndo mpango mzima?

Sogea tuishi sasa ndo mpango mzima?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,747
Watu wengi sana wanatumia huo mfumo, maana hakuna gharama, n kuvuta tu la kwako bila yeyote kujua. Hata mimi nimesogeza la kwangu, hatatujamaliza wiki mbili tumeachana, ila simind maana wakuvuta wapo wengi.

Je, na ww unatembea na huu mfumo, au vipi saiv wa Tanzania hatutaki gharama, unampeleka hotel unamnulia chips kuku, mambo ya sherehe hamna na tayar umeoa.
 
Uzuri wa sogea tuishi ukitaka kupiga chini hakuna complication nyingi za mashaidi wa hapa na pale ni mtu anabeba begi lake anatembea kama mpo kwenye nyumba ya kupanga na hataki kutoka unatoka wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom